Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

Mie nadhani ningekutana na wa hivyo ningekuwa nacheeka sana.....ningekufa kwa kuchela lol

Kuna kitu nimegundua kwamba mimi nipo tofauti sanaaa na wanawake wengi, hapa nimegundua wanawake wengi mnapenda kuwaliza wanaume eti ndo mnajiona eti vijike.

Mimi sipendi kabisa kujiona kijike kwa mwanaume tena nikimliza ndo kabisa hunitoka na nitamdharau sana, nitaenda kutafuta dume ambalo halitoi sauti mwanzo mwisho.

eti dume linalia lol, aibu tupu

sasa linamlilia nani? mi napenda anayepiga kimya kimya yani kama hayupo vile kumbe yupo.

huyo shemeji yako shoga bana usitudanganye!
 
kuna wanaume ambao akifikia kilele lazima aachie kipande cha mavi kidooogo!
 
KOKUTONA, usiombe dume akulilie kunako 6 kwa 6,...........
Hata ukimwambia amtukane mama'ake mzazi atamtukana.
Wa kwanza ni Asprin....aje abishe hapa.

Ila kiukweli mimi husikia raha sana pale mwanaume anapotoa kilio au mguno kuashiria kuwa amekolea na midundo yangu.
Ila sasa kuna wengine ni kero tupu maana yake mpaka mtaa wa pili watajua kuwa baba flani huyoooo....keshaanza.
Mfano hai ni katika nyumba niliyokuwa nimepanga kule Boko, kulikuwa na dada flani hivi akiishi na bwana, sasa ikifika mida ya saa moja moja lazima tukonyezane maana ndio muda wao wa sebene.
Mwanaume kilio, na mwanamke pia kilio....wakitoka hapo sura kavu wanashikana viuno hao bafuni.
Sie wapambe tunaishia kutoana alama kwa kufinyana.
Ila ndo hivo bhana..........tukimuulizaga anasema huwa bwana wake huwa anashindwa kujizuia.

Yuo've just made my day..teh teh teh!!
 
Unaambiwa ni hatari lakini salama...dada yangu yeye rahaa...ki ukweli kushuhudia m baba anaililia naniliu mmhhh
Sipati picha hiyo stail ya kilio, i wish ningesikia..hehehee yani i can imagine,lols
 
aliyekuja sio fundi sana, nilimuita tu ilimradi nijifariji kama ninaaenda sawa na jamaa ila kiukweli ufanisi wake sio mzuri. KOKUTONA,amini maneno yangu...kuna wanawake ni mafundi duniani hapa,,mmmh!Yani kama dume lisipokuwa imara linaweza kutiririsha chozi kweli.,mimi katika mihangaiko yangu nimeshakutana na watatu tu kwa bahati mbaya sana.
 
KOKUTONA, usiombe dume akulilie kunako 6 kwa 6,...........
Hata ukimwambia amtukane mama'ake mzazi atamtukana.
Wa kwanza ni Asprin....aje abishe hapa.

Ila kiukweli mimi husikia raha sana pale mwanaume anapotoa kilio au mguno kuashiria kuwa amekolea na midundo yangu.
Ila sasa kuna wengine ni kero tupu maana yake mpaka mtaa wa pili watajua kuwa baba flani huyoooo....keshaanza.
Mfano hai ni katika nyumba niliyokuwa nimepanga kule Boko, kulikuwa na dada flani hivi akiishi na bwana, sasa ikifika mida ya saa moja moja lazima tukonyezane maana ndio muda wao wa sebene.
Mwanaume kilio, na mwanamke pia kilio....wakitoka hapo sura kavu wanashikana viuno hao bafuni.
Sie wapambe tunaishia kutoana alama kwa kufinyana.
Ila ndo hivo bhana..........tukimuulizaga anasema huwa bwana wake huwa anashindwa kujizuia.
Madame B hapo umemaliza, wkt mwingine kiuno km ....... inabidi uwe mpole
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom