Kumbe wanawake walianza kusuka nywele za rasta miaka 3,300 iliyopita


Haya ni mabutu yaliyosukwa kwa rasta.

Na haya ni mabutu aliyosuka kwa kutumia nywele yake ya asili.
 
hivi huwa mnaamini hayo mamiaka wanayotajaga wanasayansi?eti wanasema mamba kaishi duniani kwa zaidi ya miaka milioni 3 iliyopita!mmh...
 
Basi kama ni hivyo huo msuko unaitwa MABUTU STYLE na siyo rasta style. Kumbuka ukiwa na nywele ndefu za asili unaweza kusuka mabutu na ukinunuwa rasta kutoka dukani unaweza pia kusuka mabutu.


aaa Mkuu kwa kweli natofautiana nawe kidogo, kuna tofauti kubwa kati ya kusuka mabutu ya nywele zako an kusuka mabutu kwa nywele za kuazima
 

Uislam haukuwepo? wanawake walikuwa wakipendeza sana, sasa hivi wengi wanafunika nywere zao hatuoni urembo bali vichogo, ama kweli binadamu ana mambo sayansi vs dini, kaaaaaaaaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…