Kwamba wao kwa wao pia wanajificha kwenye mambo ya kuji motivate sio?Kuna unafki ndani yake , hapo yawezekana yupo kwenye mawindo kwa namna yake tu, usiamini kizembe kizembe tu jichanye akunyooshe.
wimbo wao wa kuwapa pesa umeeleweka ,ukitaka usisumbuke wewe tafuta pesa tu uwape upewe
Hapana sivyo unavyofikiri , wimbo wa wanawake na hela ni wa dunia nzima na ni wao ndio wanaupigia chapuo , mimi nawaunga mkono hoja zao tuKwamba wao kwa wao pia wanajificha kwenye mambo ya kuji motivate sio?
Duh, bwashee wewe huna imani kabisa na wanawake, yaani umeshakubali kuwa mwanamke ni chombo cha starehe tu. Iwe kaolewa ama anakitengo sio?
Ila kwa wenzetu mambo ni tofauti mkuu kama ni gold digger ataonesha kabisa Atoka mwanzo, na ni rahisi kumpata. Ila kama ni high class woman utaweka mzigo wa dollar kadhaa ila utaambulia manyoya
Nature na mindset zote kwa pamoja, asili imefanya akili zikajiseti hivyoJe shida ni mindset au ni nature?