Kumbe wasanii hawa ni ndugu ?

Tuambie na hao wengine wanajishugulisha na nini ...??
 
Tin white ni mchekeshaji

Dokii ni mwanamziki na ni mubongo movie
 
Dokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu, ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.
Nilikua sijui kama ni ndugu hawa jamaa, infact simfahamu huyo mwingine

Huyu jamaa nilikuaga namuona ona kwenye video na yule mchekeshaji wa zamani mno, anaitwa mau.
 
Dokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu, ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.
Dokii ni mtanzania kabisa ndio mwaana hata hata harakati za uchaguzi mwaka juzi naye alishiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…