Kumbe wasanii hawa ni ndugu ?

Watapost nini wakati hawana kiki hadi watu wanauliza tin white ni nani, dokii naye hana usanii wa maana labda rich mavoko.
Kupost nako kunahitaji uwe na cha kupost otherwise post zinakuwa hazina mvuto
Mkuu kuwa fair bwana,hivi hawa watu kuna mtu asiewajua au ni kujichetua tu?labda tin na anaweza akawa hafahamiki kwa jina ila mtu akimuona tu anakubali kwamba anamjua
 
Kujulikana jambo moja, kuwa na la kupost lenye mvuto jambo lingine mkuu.
Hivi hujaona page za wasanii kibao wakipost kitu unakuta comments 10 na likes zikienda sana 40.
Tena wako juu kuliko huyo dokii na tin
 
Dokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu, ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.
Kwa msiojuaa doki ni mtanzania lakin kaishi sana kenya na. Akawa ameadopt kuongea kiswahili kwa rafudhi ya kikenya ndio anakuwa anatumia rafudhi hiyo
Kwa msiojuaa doki ni mtanzania lakin kaishi sana kenya na. Akawa ameadopt kuongea kiswahili kwa rafudhi ya kikenya ndio anakuwa anatumia rafudhi hiyo
Dokii hajawahi kuwa Mkenya, ni mzaliwa wa kilosa sehemu ya kimamba. alijifanya mkenya ili apate nafasi ya kuigiza kaole. ni baada ya kushindwa kupenya akajifanya mkenya baada ya kuona hakuna namna. alipokelewa kwa mikono miwili.
 
ila wanajua ku-mute yani miaka yote hiyo wamekuwa mastar lkn huwakuti wamekaa pamoja as a family au hata kujinadi kama hawa ni ndugu...nlijua rich na tinywite kama ni ndugu hili la dokii ndo nalijua now.

Kwa jinsi wanavyoishi hawa inaonekana kabisaa hawapendani,yani familia yao haina mapenzi baina yao...ama wana roho mbaya,kisirani au wanaoneana wivu sana.

Maana hata hukuti wanasapotiana kwenye kazi zao!
 
Tin na Mavoko hawapatani kabisa ni paka na panya fatilia intavyuu zao kila mmoja akiulizwa kuhusu mwenzake huwa hataki kujibu.....hasa Mavoko inasemekana kajamaa kana kiburi na jeuri kana mdharau braza ake...
 
Inawezekana inaukweli hii, za nilimsikia Kwa Masikio yangu Tin White akihojiwa kuhusu yeye kuwa na undugu na Rich Mavoko, alikiri ingawa hakuwa wazi sana kwa nn hawana ukaribu yeye na Mavoko. Na hii ilikuwa kwenye msiba wa dada yao. Hili la Dokii kwangu ni geni.
 
Na ile lafudhi ya Dokii sio ya kikenya bora aongee kipogolo tu tujue moja
 
Mkuu kuwa fair bwana,hivi hawa watu kuna mtu asiewajua au ni kujichetua tu?labda tin na anaweza akawa hafahamiki kwa jina ila mtu akimuona tu anakubali kwamba anamjua
Inaonekana ni hater
 
Doki akifanya sasa za Mlengo fulani hatachelewa kuitwa Uhamiaji!
 
Na huo ndio ukweli
 
Mkuu kuwa fair bwana,hivi hawa watu kuna mtu asiewajua au ni kujichetua tu?labda tin na anaweza akawa hafahamiki kwa jina ila mtu akimuona tu anakubali kwamba anamjua
Mkuu unazingua hawafahamiki kwa wote aiseee
Ww kumjua haimanishi wote wanamjua
Akili kuchwani
Binafsi Dokii nimemjua juz baada ya kumuona na mavoko nikauliza Instagram who is this lady ndo kumjua na kuingia kwenye BO yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…