Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Mkuu kuwa fair bwana,hivi hawa watu kuna mtu asiewajua au ni kujichetua tu?labda tin na anaweza akawa hafahamiki kwa jina ila mtu akimuona tu anakubali kwamba anamjuaWatapost nini wakati hawana kiki hadi watu wanauliza tin white ni nani, dokii naye hana usanii wa maana labda rich mavoko.
Kupost nako kunahitaji uwe na cha kupost otherwise post zinakuwa hazina mvuto