Kumbe watu mnafaidi namna hii

Nitumie nauli nije πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ usisahau ya kutolea, ya kula njiani, na ya kuacha nyumbani, na ya kusukia nywele za safari na kijora cha kupandia ndege pia kisanduku chenye matairi na kibegi chake juuπŸ˜€ yaani hii safari itakuwa tamu sana. Kuna kile kimto cha kuweka shingoni wakati wa safari. visendo vya manyoya na visoksi vyeke njiwa...
 
Hilo limepita.
Limepita kabisa, umebaki utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…