Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
-
- #41
Yah kitu nimependa humu ni Kila maudhui na jukwaa lake nimeona jukwaa la mapishi hadi la urembo na utanashatiKaribu sana JF mkuu, ila kila utakachokikuta humu usichukulie serious sana kuna wapishi wazuri chai, hoping soon utaanza kuzifaidi utamu wake😎
Poor Brain njoo huku 🤣🤣Dah huku mwendo wa parodies tu hadi poor brain 🤔jamaa kajipa jina baya
Hii ndio maana ya jamii ndugu yangu😁😁😁🤝🤝Safi kabisa napenda watu jasiri ndugu Pepe madochi😂
Nimeona Kuna mtoto anaitwa Binti Sayunii huyu nadhani ni wife material kabisaPoor Brain njoo huku 🤣🤣
Jichanganye 😃😃Nimeona Kuna mtoto anaitwa Binti Sayunii huyu nadhani ni wife material kabisa
Ndio kitu nimependa maana hata moderator kuniunganisha kanipa masharti kibao binafsi hata Twitter sikuwa natukana nadhani ni sababu ya nafasi yangu kubwa serikaliniKaribu JF, ila upopoma na matusi huku haturuhusu, utakula bakora za shingo.
Aah kwa hiyo niwe makini!?ila kanipa like za kutoshaJichanganye 😃😃
Aah kwa hiyo niwe makini!?ila kanipa like za kutosha
Kuwafikia wale wa X sidhani lile ni genge linapeana hadi tuzo mwisho wa mwakaKama.ambavyo.twiter kuna wapumbavu hata humu wamesheheni ukitaka kuwajua nitaprovide list tena uongozi wao upo humuhumu
Safi sana AFISA MKUBWA SERIKALININdio kitu nimependa maana hata moderator kuniunganisha kanipa masharti kibao binafsi hata Twitter sikuwa natukana nadhani ni sababu ya nafasi yangu kubwa serikalini
Vishu karibu kula samaki na chapatiBasi hapa sio sec, ukimalizana na huyo kuna huyu muhasibu wa jf wa kuitwa OKW BOBAN SUNZU huyu ndio atakupa utaratibu wa gharama zote.
Mwisho kabisa ukitaka majukwaa ya kikubwa mcheki Poor Brain
Huyo jamaa ukute ni PSL godPoor Brain njoo huku 🤣🤣
Sasa huyo ndo mimi..Dah picha ya avatar Yako yuko jamaa wa the equalizer Denzel Washington ambae ni great brain
Kufika tu nakuanza kutuita wapwa!. sijapenda...😂Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Hahaha kumbe na huku Kuna mashangazi Sasa unalijuaje !?maana hakuna picha anyway kutoka na nafasi yangu kubwa serikalini sio rahisi kutaka shangaziSasa huyo ndo mimi..
Karibu sana mkuu kama unataka connection ya mishangazi nicheki mimi hapa
Wewe ni ke au me.Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa