Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
-
- #81
Mod hawajanipa full details ndio maana najikita kwa Binti Sayunii anipe taarifa za mtaa mzimaMtaalam bila shaka mods wamekuelekeza umu jukwaani Chai kwa mstari si unajua vitafunwa vichache?
Yuko wapi huyuHatuenjoy bure kuna malipo ya kila mwezi.
Kiingilio umelipa kijana??
Muone madam Evelyn Salt akupe utaratibu.
Kuna Dem wangu kule,jiangalie sana kijanaYah panafaa sana mwanzo nilikuwa sioni picha kumbe Kuna jukwaa maalumu la picha
Huko nimekuta picha za warembo dunia nzima
Kwa hapa JA nimependa lile jukwaa la biashara naona mda si mrefu nakuwa mfanyabiashara mkubwaKuna Dem wangu kule,jiangalie sana kijana
X ikirejea huenda nikarudi Kila mda naitest ila inasumbua badoChai
Rudi kwenye id yako ya mwanzo
Umenikumbusha hii movie ya Angelina Jolie bonge la movie mda unakimbia sanaYuko wapi huyu
Nimekufollow braza fanya ku follow back
- Ila kumbuka pia [ 👉 JF: The only place you can meet real beautiful women]Yah panafaa sana mwanzo nilikuwa sioni picha kumbe Kuna jukwaa maalumu la picha
Huko nimekuta picha za warembo dunia nzima
Poa follow back teacher- Ila kumbuka pia [ 👉 JF: The only place you can meet real beautiful women]
Au unasemaje kiongozi Mshana Jr
Asante mpwa tuendelee kuinuana Niki follow una follow backKaribu
Asante mpwa tuendelee kuinuana Niki follow una follow back
Mbona Kuna option ya ku follow !?kazi yake nn!?anyway nime ku-follow niendelee kupata madini yakoHumu sio Twitter mkuu hakuna cha follow back
Mbona Kuna option ya ku follow !?kazi yake nn!?anyway nime ku-follow niendelee kupata madini yako
Utampata mkuu toa taarifa kituo Cha polisi atapatikana fasterNamtafuta mwizi wangu,
na likes zilizopo huku hazina kaziHumu sio Twitter mkuu hakuna cha follow back
NakaziaHuyu akibanwa vizuri atataja ID yake ya mwanzo.