Kumbe Waziri wa Ulinzi wa Kenya ni Mwanamke kama ilivyo huku Tanzania

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya.

Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi.

Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
IMG_5492.jpeg
 
View attachment 3257356
Namuona msukuma pembeni yake,kumbe akila kombati anapendeza,,waziri ana midomo mizuri sana aisee
 
Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya.

Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi.

Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
View attachment 3257356
Umesoma Cv yake lakin vs wa hapa kwetu?
 
Back
Top Bottom