Ni mwendo wa kuiga Tanzania!Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya.
Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi.
Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
View attachment 3257356
Namuona msukuma pembeni yake,kumbe akila kombati anapendeza,,waziri ana midomo mizuri sana aiseeAnaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya.
Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi.
Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
View attachment 3257356
Umesoma Cv yake lakin vs wa hapa kwetu?Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya.
Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi.
Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
View attachment 3257356
usibishe mkuu namanishaDaaah🤣🤣