Kumbe Wema Sepetu alikuwa mzuri hivi?

Kumbe Wema Sepetu alikuwa mzuri hivi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Faida ya ku-bleach ngozi ya asili ndio hii, ona mwenyewe..

mqdefault6.jpg
Lowassa note.png
 
Mleta Uzi sijui ana maana gani kumuhusisha Lowassa hapa, tena amemueka kwenye noti ya sh. 5,ooo/=
Sijui alikuwa ana maana ya Lowassa mpiga hela au raisi wa hela au raisi ajaye atayeweka picha yake kwenye noti... huko Kwa Wema siingilii kabisaaa kwani naona hata kichefuchefu
 
So unajaribu kumsafirishia Lowassa nyota ya huyo mlemavu wa ngozi?
 
Back
Top Bottom