Kuna tatizo kubwa kwa dada zetu wanaojichubua, ambalo wenzi wao, hawaambii ukweli ili isije kuonekana ni kuwadhalilisha au kashfa!.
Japo sina uthibitisho wowote wa kibaolojia au anatomy, ila 'asali' kwenye 'ua' natural ni sweet zaidi, kuliko kwenye 'ua' mkorogo!, tena mikorogo mingine unakuta ni tasteless kabisa ila huwezi kusema!.
Sasa kitu mtakachoshuhudia kwa wadada zetu hawa, ni 'magari' tuu kujazana, kupishana au hata kugongana, ila mwisho wa siku magari hayo huishia kujipitia tuu na kuendelea na safari, mtashuhudia hakuna gari yoyote itakayo park jumla!, ni kuja na kupita tuu!, yaani kituo hicho ni kama zile stendi za njiani, magari kupita tuu na kuendelea na safari zake, hivyo mnaweza kuwashangaa iweje wadada wenye kila sifa ya urembo na uzuri wa kutazamika, cha ajabu, 'nyuki' hawatulii kabisa kwenye 'ua' ili kufyonza 'asali', na badala yake 'nyuki' hao wanaruka ruka tuu juu juu wakipishana!.
Hivyo kwa wale wadada waliochubua walio ndani ya ndoa zao, wa kupongezwa sio wao kwa kujichumbua, bali ni waume zao, kwa kuwa wavumilivu kupitiliza!, maana kula kipande cha mua cha juu wakati wote, chataka mono!, vinginevyo, ni kuendeleza utulivu kwa uvumilivu kwa ajili ya watoto, lakini wanapo pao pengine wanapoponea!.
Paskali