FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Nadhani hili swali aulizwe diamond..Enzi hizo Wema alikua mtamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hili swali aulizwe diamond..Enzi hizo Wema alikua mtamu?
Nadhani hili swali aulizwe diamond..
View attachment 227308
Cheki balaa la bibi harusi Usoni
View attachment 227308
Cheki balaa la bibi harusi Usoni
Mkuu Da Don naangalia sura hii na kusema la ukweli hata ningekuwa mimi, mambo mengine lawama!.
Pengine kafanya sex change operation [emoji23][emoji23][emoji23]. JF ya sasa hii hovyo sana!huyo lowassa nae alikua wema au vipi mana sijaelewa
Wema kahamia Chadema kama mamviMmmhh kumbe mamvi ni wema?
Mleta mada kafariki. Ndiye aliyeimba wimbo wa kila munu ave na kwavo.mleta mada atujuze
Ha ha alale kwa amaniMleta mada kafariki. Ndiye aliyeimba wimbo wa kila munu ave na kwavo.
Nawe piaHa ha alale kwa amani
komaNawe pia
Nawe piakoma
ha hahaNawe pia
Wala sioni sababu ya kumsema vibaya, Mbowe.
Mkuu mbega gani?Sasa hivi hana tofauti na mbega.
Duh...!, hata kama ingekuwa kweli, sasa ndio umeharibu!, umemharibia kwa kuitoa nje hii siri, hivyo umemponza na jina lake sasa limeondolewa, hateuliwi tena yeye, sasa atateuliwa mtu mwingine tuu ila ni mwanamke!.Habari wadau wa JF.
Mnakumbuka msiba wa DC Mtwara aliyefariki wiki iliyopita? Nauliza hivi kwa sababu Watanzania ni wepesi wa kusahau aidha kutokana na pilika za maisha au matukio kuwa mengi.
Inasemekana Rais Magufuli amemshirikisha Mama Samia kumtafuta mwanamke ktk tasnia ya bongo muvi au bongo flavour ili achukue nafasi ya DC Mtwara ambayo ipo wazi. Inadaiwa nafasi hiyo ilikuwa zitangazwe ktk uteuzi wa Jana wa waziri wa sheria na katiba wakati moja.
Inadaiwa pendekezo hilo la Mama Samia lilimfikia Magufuli jioni saa 12 Jana na haikujulikana kwanini Rais hakuambatanisha uteuzi wake wa Mwigulu na Mwanabongo Muvi Wema Sepetu. Hata hivyo ushauri huo wa Mama samia au Mama wa Busara unadaiwa kuridhiwa na Rais.
Stay tuned muda wowote kitu kitarushwa hewani.
Daaaah.....!!!! , ila wampe tu bhanaDuh...!, hata kama ingekuwa kweli, sasa ndio umeharibu!, umemharibia kwa kuitoa nje hii siri, hivyo umemponza na jina lake sasa limeondolewa, hateuliwi tena yeye, sasa atateuliwa mtu mwingine tuu ila ni mwanamke!.
P