Kumbe Wema Sepetu alikuwa mzuri hivi?

Duh.. kazi ipo, ila naona bado anakamata tu mioyo ya vidume maana Harmorapa amezimika kinouma hapo
 
Faida ya ku-bleach ngozi ya asili ndio hii, ona mwenyewe..

View attachment 227201
Duh...!, hata kama ingekuwa kweli, sasa ndio umeharibu!, umemharibia kwa kuitoa nje hii siri, hivyo umemponza na jina lake sasa limeondolewa, hateuliwi tena yeye, sasa atateuliwa mtu mwingine tuu ila ni mwanamke!.
P
 
Daaaah.....!!!! , ila wampe tu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…