zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Kwa hiyo kama ni maamuzi ya Umma utasema maamuzi ya Nyuma?umoja wingi
Umma nyuma
Mfano.Mama muuza tunaomba sahani mbili za chips kavu na tuletee na NYUMA mbili.
Hujakosea kabsaaa! Lakini naona hiyo ya uma ni afadhali wingi wake uwe vyuma manaake kusema 'niletee nyuma', duhu!Hebu nisaidiwe hapa.....ninavyofahamu mimi ni "Uma" na si "Umma".....Ile ya kwanza ni chombo kwa matumizi ya nyumbani na hii ya pili ni ile tunayotumia kumaanisha kundi la watu mfano umma wa watanzania.
Au nimekosea? Kama ni hii ya pili yaani "Umma" basi wingi wake ni "Umma" na ile ya Kwanza "Uma" wingi wake ndio "Nyuma".......
Naombwa kurekebishwa kama nakosea ili nisiendelee kukosea kwa kuwaza niko sahihi............
Umenchekesha mpaka basi!umoja wingi
Umma nyuma
Mfano.Mama muuza tunaomba sahani mbili za chips kavu na tuletee na NYUMA mbili.
Hebu nisaidiwe hapa.....ninavyofahamu mimi ni "Uma" na si "Umma".....Ile ya kwanza ni chombo kwa matumizi ya nyumbani na hii ya pili ni ile tunayotumia kumaanisha kundi la watu mfano umma wa watanzania.
Au nimekosea? Kama ni hii ya pili yaani "Umma" basi wingi wake ni "Umma" na ile ya Kwanza "Uma" wingi wake ndio "Nyuma".......
Naombwa kurekebishwa kama nakosea ili nisiendelee kukosea kwa kuwaza niko sahihi............
Dada wa chipsi, naomba niletee na nyuma maana mie chipsi bila nyuma ngumu kushuka...........hahahaa, lol