Kumbe wingi wa umma ni nyuma??

Kumbe wingi wa umma ni nyuma??

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
umoja wingi
Umma nyuma

Mfano.Mama muuza tunaomba sahani mbili za chips kavu na tuletee na NYUMA mbili.
 
Ulikuwa ujui hlo,mbna ni msamiati maarufu sana hpa bongo kw nyerere.
 
Hebu nisaidiwe hapa.....ninavyofahamu mimi ni "Uma" na si "Umma".....Ile ya kwanza ni chombo kwa matumizi ya nyumbani na hii ya pili ni ile tunayotumia kumaanisha kundi la watu mfano umma wa watanzania.

Au nimekosea? Kama ni hii ya pili yaani "Umma" basi wingi wake ni "Umma" na ile ya Kwanza "Uma" wingi wake ndio "Nyuma".......

Naombwa kurekebishwa kama nakosea ili nisiendelee kukosea kwa kuwaza niko sahihi............

Dada wa chipsi, naomba niletee na nyuma maana mie chipsi bila nyuma ngumu kushuka...........hahahaa, lol
 
Hujakosea kabsaaa! Lakini naona hiyo ya uma ni afadhali wingi wake uwe vyuma manaake kusema 'niletee nyuma', duhu!
 
yes the same to chapati - vyapati, kuku - vyuku, kideo - video, uzi - nyuzi,
 
umoja wingi
Umma nyuma

Mfano.Mama muuza tunaomba sahani mbili za chips kavu na tuletee na NYUMA mbili.
Umenchekesha mpaka basi!
Umoja na wingi unazo kanuni zake kwa wataalam watafafanua hilo!
umoja wingi

Mdomo midomo
Meno(jino) mimeno(mijino)
Kazi ipo!
Je k.u.m* wingi wake tusemeje?
 
Hebu nisaidiwe hapa.....ninavyofahamu mimi ni "Uma" na si "Umma".....Ile ya kwanza ni chombo kwa matumizi ya nyumbani na hii ya pili ni ile tunayotumia kumaanisha kundi la watu mfano umma wa watanzania.

Au nimekosea? Kama ni hii ya pili yaani "Umma" basi wingi wake ni "Umma" na ile ya Kwanza "Uma" wingi wake ndio "Nyuma".......

Naombwa kurekebishwa kama nakosea ili nisiendelee kukosea kwa kuwaza niko sahihi............

Dada wa chipsi, naomba niletee na nyuma maana mie chipsi bila nyuma ngumu kushuka...........hahahaa, lol

Uko sawa kabisa hujakosea!
 
Back
Top Bottom