UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Teh teh !K ina mambo kweli ,ukiinama iko nyuma ukisimama katikatika ,ukilala ipo juu ilmradi tu iweze kuliwa kila mkao ,ndio tatizo hiloha haha K inamambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh !K ina mambo kweli ,ukiinama iko nyuma ukisimama katikatika ,ukilala ipo juu ilmradi tu iweze kuliwa kila mkao ,ndio tatizo hiloha haha K inamambo
Hiyo maana yake ni kwamba asieuliza Kabila yeye ni wa KWENDA!!! Hongereni wanakwenda. Turudi kwenye mada.. Mtu unapotafuta sifa humu unafaidika nini?? Katafute sifa bank huko utaheshimika Sio hapo JF,
ha haha na inaleta shida kila konaTeh teh !K ina mambo kweli ,ukiinama iko nyuma ukisimama katikatika ,ukilala ipo juu ilmradi tu iweze kuliwa kila mkao ,ndio tatizo hilo
Management yake ni kina Masogange unategemea niniMbona Vanesa alimwachia Yule m Nigeria !! huyu linah kwani Hana management ??
Picha nyingine zile ndio zipi????Kuna dalili za mtu kutafunwa hapo
Teh teh..Zile unapiga na suti ya kuzaliwaPicha nyingine zile ndio zipi????
Huo ni mtego wa kula tunda la mti wa kati.Hizo mil 40 nyingi aisee..labda atumie njia mbadala
Mtoto wa mchungaji Kawivaa![emoji12]View attachment 320235 Linah katika ubora wake
Mkuu nimekuelewaTeh teh mbona picha wanatuma tu hata kwa masela kama sisi tusio na uspooni town sembuse hao ma star alafu hela ipo ? Nude pic ni Zuga tu huyo kabla hajombwa atakua ametuma tu ,Gigi money si alipiga picha na lichupi lake likubwa sijui na Tecno kesho yake akatangaza ameliwa na jamaa ,
Hiyo 40m ni kolabo tu bado video Godfather 30M ,acha tu atafunwe hakuna namna
Weka picha ya Linah kunogesha sredi.
Sijawahi hata kuona anachokiimba mi naona anafanya tu remix za watu ila remix nazo ni kichefuchefu kama ule wimbo wa d'banj Oliva twist yani ile remix ya linah huwa inanipa kichefuchefu.. . Analazimisha muzikiHaka ka andunje nako kangeimba nini na yule dogo! Linah hajawahi nivutia! Am sorry!
Ndio maana kanyimwa collabo. Wakina dada msivae bikini za kizee Kama hizi, mnatakiwa mwende na wakati