Kumbe Wizkid aliomba pesa nyingi hivi!

Kumbe Wizkid aliomba pesa nyingi hivi!

Mtoto wa kike anaweza mvutia yeyote????.... I thought it was about biznez....
 
SI ANGETUMA TU PICHA ZINGINE ASEEH? hehehe 40 MIL AU atoe GAME,,,choose one Linah
 
Afu hiyo ishu ilikuwa mwaka Jana mwanzoni, almost mwaka umepita sasa sijui kama bado anajiuliza mwaka mzima kama atume pics au lah..!

Na hapo kupewa hilo jibu alihangaika nao kwa muda mrefu tokea 2014 mwishoni. Ndio ilitakiwa kuwa project kabla ya kutoa No stress mwaka jana, ila alipotajiwa 40m akaona bora akimbie tu..

Afu collable sio kitu cha muhimu kusema ugharamie kiivo.. Maana wizkid anashirikishwa nyimbo nyingi sana ila hazisumbui kiivo, ni wewe msanii wimbo wako unaubora upi, na sio kutegemea anticipation ya ukubwa wa jina la msanii liupe wimbo push

Bora hta linah alivyotajiwa 40m kuliko kcee alivyotajiwa 630m+ na Nick minaj, hahaha alitoka spidi 9800
 
Shida ya hii rushwa ya ngono ni kwamba inabidi atoe kwanza Kabla ya kuingia studio hapo sasa ndo kwenye dhuluma manake anaweza akavua halafu jamaa akamdhulumu.Labda anogewe ndo inaweza ikawa pona yake na hapo viuno feni ni muhimu.
Kwa lile gogo la kiuno cha Linah???Ndio maana collabo haijafanyika hadi leo!
 
Hongera Linah kwa ku-chat na Star boy ni mwanzo nzuri mimi nimekuelewa nini hasa ulikua ujumbe wako.
 
Hivi hawa wanaijeria mnawababaikia wa nini? Nyimbo zao zenyewe mi naona kituko Tu. Nimemsikia mmoja anaimba,"I give you a passport don't say I don't go". Nikawa najiuliza nani kamwandikia rylics huyu! Umpe passport kwani we uhamiaji
 
Linah leo amefunguka kuwa anampango wakufanya Collabo na msanii wa Nigeria Wizkid,Linaha amefunguka kuwa alilazimika kutafuta contact za Wizkid na kuanza kuchat nae na kuomba kufanya nae Collabo na Wizkid alionekana kukubari kufanya nae collabo Linah!

Huku Wizkid akiwa anamuomba Linah amtumie kazi zake na Linaha kufanya hvyo,Wizkid pia aliomba picha za Linah na kupewa,Linah amesema kuwa Wizkid alikuwa anasema sio picha hizo zile zingne lakini Linah hajasema kama hzo picha zingine ni zipi na alituma au Vipi hajaweka wazi

Baada kufika kuwa issue ni Official katika mangement ya Linah Wizkid alidai ilikufanya Collabo anahitaji alipwe Dolla 20 elfu ambazo ni sawa na Millioni 40 za kibongo n Linah amesema hio ni gharama kubwa mno

Linah amesema yeye ni mtoto wa kike na anaweza mvutia yeyote

Source: amplifaya ya clouds Fm na Millard Ayo!
Angemtumia zile picha zingine asingeombea hela yote hiyo
 
kwanini linah asifanye collabo na LE MUTUZ?huyo jamaa ni chip.


swissme
 
Kamezoea kumegwa hako, luge kapigaweeee mpaka basi.....mbunye yake itakua sugu sana.
 
Back
Top Bottom