jingojames
JF-Expert Member
- Mar 12, 2010
- 886
- 452
Siku akiipeleka vile vile atuage,uwa wanasepa kimya kimya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alivyosema.Hakuna, unataka kusemaje?
Mura Kwan hyo Wisikidi ndo Hana njaaOf coz namuona Lina kama Wife material fulani hv...sa Wiz nae kwa hizo pesa anaxohitaji ni Kajizi tu kanataka kumla ...
Kwa lile gogo la kiuno cha Linah???Ndio maana collabo haijafanyika hadi leo!Shida ya hii rushwa ya ngono ni kwamba inabidi atoe kwanza Kabla ya kuingia studio hapo sasa ndo kwenye dhuluma manake anaweza akavua halafu jamaa akamdhulumu.Labda anogewe ndo inaweza ikawa pona yake na hapo viuno feni ni muhimu.
Angemtumia zile picha zingine asingeombea hela yote hiyoLinah leo amefunguka kuwa anampango wakufanya Collabo na msanii wa Nigeria Wizkid,Linaha amefunguka kuwa alilazimika kutafuta contact za Wizkid na kuanza kuchat nae na kuomba kufanya nae Collabo na Wizkid alionekana kukubari kufanya nae collabo Linah!
Huku Wizkid akiwa anamuomba Linah amtumie kazi zake na Linaha kufanya hvyo,Wizkid pia aliomba picha za Linah na kupewa,Linah amesema kuwa Wizkid alikuwa anasema sio picha hizo zile zingne lakini Linah hajasema kama hzo picha zingine ni zipi na alituma au Vipi hajaweka wazi
Baada kufika kuwa issue ni Official katika mangement ya Linah Wizkid alidai ilikufanya Collabo anahitaji alipwe Dolla 20 elfu ambazo ni sawa na Millioni 40 za kibongo n Linah amesema hio ni gharama kubwa mno
Linah amesema yeye ni mtoto wa kike na anaweza mvutia yeyote
Source: amplifaya ya clouds Fm na Millard Ayo!
Teh!Teh!Teh!Majanga.Kwa lile gogo la kiuno cha Linah???Ndio maana collabo haijafanyika hadi leo!
Ukute wiz hataki huo mzigo anatafuts kick tuu huyu manzii.Heee sasa anasubiri nini kama anaweza kumvutia yeyote ?? Hii ndio shida ya mentality ya baadhi ya wanawake wanafikria K ndio kila kitu ,
Hivi huwa inapata sugu?Kamezoea kumegwa hako, luge kapigaweeee mpaka basi.....mbunye yake itakua sugu sana.