Kumbe Wizkid aliomba pesa nyingi hivi!

Hiyo maana yake ni kwamba asieuliza Kabila yeye ni wa KWENDA!!! Hongereni wanakwenda. Turudi kwenye mada.. Mtu unapotafuta sifa humu unafaidika nini?? Katafute sifa bank huko utaheshimika Sio hapo JF,


I didn't do anything wrong to you. Naona Tu Leo umeamka vibaya.
 
Mbona Vanesa alimwachia Yule m Nigeria !! huyu linah kwani Hana management ??
 
Hapa ndipo mzungu anapo pata nafasi ya kuendeleza kututawala ss Waafrica! Hatuna ushirikiano Tutaendela kutawaliwa hadi shetani a comeback
 
m
Mkuu nimekuelewa
 
Ndio maana kanyimwa collabo. Wakina dada msivae bikini za kizee Kama hizi, mnatakiwa mwende na wakati
 
Haka ka andunje nako kangeimba nini na yule dogo! Linah hajawahi nivutia! Am sorry!
Sijawahi hata kuona anachokiimba mi naona anafanya tu remix za watu ila remix nazo ni kichefuchefu kama ule wimbo wa d'banj Oliva twist yani ile remix ya linah huwa inanipa kichefuchefu.. . Analazimisha muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…