mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
kwa hyo kumbe nyie ni wajingakwa hiyo na nyinyi mkaamua kuiga ujinga?
Hahaha mkuu alikua anajaribu kujitoa ufahamu.umejichanganya ww ile mechi ilikuwa inacheza mikia na kagera.
Kumbe Rage hakukosea alipowaita Mambumbumbu,kwa hiyo ukiona mwenzako anafanya ujinga na wewe unamuiga kwa kuwa yeye kafanya?nyinyi ni Wajinga Square.kwa hyo kumbe nyie ni wajinga
Akileta hiyo picha hapa nipigwe bani Mwezi mmoja.Hata kapicha hakuna ?
Kumbe Rage hakukosea alipowaita Mambumbumbu,kwa hiyo ukiona mwenzako anafanya ujinga na wewe unamuiga kwa kuwa yeye kafanya?nyinyi ni Wajinga Square.
Picha umeiona mkuu uwe una kumbukumbuAkileta hiyo picha hapa nipigwe bani Mwezi mmoja.
Uwanja upi wa Tanga wenye viti vya namnaiyo!!umeokota picha kwenye mitandao unakuja kulisha watu matango pori. Nimwaka gani na mashindano gani Yanga waling'oa viti.