mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kweli "Nyani haoni kundule" Klabu ya Yanga Na mashabiki wake wamekuwa wanahubiri Washabiki wa Simba kung'oa Viti Uwanja wa Taifa.Napenda kuwa kumbusha Mashabiki wa Yanga wawe Na Kumbukumbu Mechi yao Na Coastal Union ya Tanga wapenzi Na mashabiki wa YANGA Waling"oa VITI kama simba walivyofanya.Kutokana Na wao Yanga kufanya hivyo nawaomba wawakumbuke wahenga walivyosema " NYANI HAONI KUNDULE"