Kumbe Yanga waling'oa viti uwanja wa Taifa walipocheza na Coastal Union

Kumbe Yanga waling'oa viti uwanja wa Taifa walipocheza na Coastal Union

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Kweli "Nyani haoni kundule" Klabu ya Yanga Na mashabiki wake wamekuwa wanahubiri Washabiki wa Simba kung'oa Viti Uwanja wa Taifa.Napenda kuwa kumbusha Mashabiki wa Yanga wawe Na Kumbukumbu Mechi yao Na Coastal Union ya Tanga wapenzi Na mashabiki wa YANGA Waling"oa VITI kama simba walivyofanya.Kutokana Na wao Yanga kufanya hivyo nawaomba wawakumbuke wahenga walivyosema " NYANI HAONI KUNDULE"
 
Kwani yanga ipo chini ya wakina nani kwa asilimia kubwa?
 
Nyani ni nyani tu!Hakujaliwa uwezo wa kuona kundule bali uwezo wa kuwacheka wengine kwa vile ndio anaowaona.Yanga ni kama nyani kaona simba anajisaidia kaanza kucheka!Angalia usije ukaliwa!
 
14457429_957241391054545_947157089571024533_n.jpeg
 
Mnabishana na mtu ana jina la mama yake kama u bini atakuwa na kumbukumbu wapi?
Sasa aje hapa akanushe.
Wanjiku waheed.Ushabiki wa mpira ameanza 2016 na hiyo ndio tabu.
 
Hao vyura wamekuwa na kaugonjwa ka
kubet.
Juzi mmoja kabet mke ikabidi ahurumiwe.
Mjinga mwingine akaahidi wakifungwa atanunua perfume chupa 15!!!
Mwingine kadai apewe ban ya mwezi sasa hajarudi kujibu.Wanawake wawili wapenzi wa Chura nao walibet Chura akifungwa watakuwa "mboga".Sijui nao wako kwenye hali gani?
 
Back
Top Bottom