Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Ok, now lets do this one in order to prove of either Yesu ndio Issa au laa.Nadhan hukunipata vizuri hoja yangu nasema hata bible ya kiarabu ni tafsir kutoka bible ya kingereza ambayo nayo ni tafsiri kutoka original bible ya kigiriki na kilatin ambayo since day one inaandikwa waliatumia jina Jesus so uisitegee bible ya kiarabu ikaandikwa Issa...hoja hapa ni Je jina jesus linatafsiri mbona linaitwa kwa namna tofautu kulingana na maeneo au lugha nimekuambia africa magharibi wanaita JESU,huku kwetu na africa mashariki tunaita YESU, waarabu wanaita YASU, wa ulaya wanaita JESUS lipi jina lake sahihi aliloitwa na Mama yake...!..
vitabu vya kiyahud na injili zingine zilizokataliwa mamemuita kwa jina la Isoo na jina la Yoshoua na hiyo isoo kiarabu inatamkwa Isaa...Jesus sio jina la kiyahud ni jina la kilatin hata leo ushahid upo wa jina la jesus majina hayo unayakuta mexico,argetina na spain sio mashariki ya kati..ila jina la isoo haswa israel lipo mashariki ya kati ndio majina yao walio currupt bible walitaka ukristo uwe dini yao kutoka magharibi na majina yaitwe ya kutoka kwao na ndio maana waliwauwa wanafunzi wote wa Yesu waliobaki maana walibaki na msimamo wa Mungu mmoja na mafundisho ya kweli ya Injili....Yesu alikuja na injili sio biblia kilichopo leo sio injili ya Yesu ni simulizi za watu waliowasikia wanafunzi wa Yesu wakisimulia aliyoyafundisha Yesu...kama ambavyo kiislam hadith au mafundisho ya mtume ni maneno ya watu waliomsikia mtume akisema na yamewekewa masharti yazima wawe wamesikia zaid ya watu wanne ili yapitishwe kuwa sahihi chini ya hapo ya zaid yanawekwa kwa makundi na mwengine yameitwa dhaifu kuwa hayapewi uzito na yametenganishwa na Quran coz Quran iliandikwa muhamad akiwepo na alikuwa ana hakiki kila kikiachoandikwa kwa kusomewa na anathibitisha na alichagua waandishi 12 wa kuandika Quran ndio maana imebaki kama ilivyo had leo..!..
Sasa bible haiko hivyo Yesu hakuacha maandiko na yaliyobaki watu waliya currupt ili kuendena na iman zao za Tamuz.!..
iman ya Tamuz ndio iman mama ya kanisa katoliki waliuvamia ukristo wakiamin kupitia kwao watafika mbali duniani ni iman ya kuabudu masanamu na wafu..na Tamuz kwao ni Mungu mkuu ambae mtoto wake akizakiwa tarehe 24 ya kuamkia desemba ndio wakaipachika cristimass akaitwa mwana wa Mungu mama yake ni Febros mwez february ndio maana unasiku 28 na ikiwa january au Mugu Janus itakuwa ina siku 30 february itakuwa ina siku 29 mantik yake siku tatu zinaopungua ni yuko bleed katufute habari za miungu ya kiroma kuanzia january had desema ni majina ya miungu ya kiroma ambayo wameimbatanisha na kanisa na lego lao la kuutawala ulimwengu ulifanikiwa hata siku hizo monday to sunday ni siku za kuabudu miungu yao na majina yana maana zake hata vyomba vinavyoruka angani ni lazima vipewe majina ya miungu ya kiroma hata majina ya sayari isipokuwa sayari yetu ni majina ya miungu ya kiroma..!..
Vipo vingi vya kujifunza dunia ina mambo mengi sana baadhi ya makanisa yalinzishwa kwa watu kujitoa baada ya kugundua haya kwenye kanisa katoliki hata ishara ya msalab ni ishara ya Mungu Tamuz msalaba unasimama badala ya herufi t na wameunganisha humo..!
Shinda yangu kubwa kukuonesha how much this is man made religion and how much it is currupted.!
Kunandiko moja Yesu Kristo kabla hajaondoka duniani aliwaambia wanafunzi wake hivi; ".....na inshara hizi zitaambatana na wao waaminio, kwa jina langu ....,watakemea mapepo nayo yatatoka..." Mathayo 28:20 nadhani, again siku moja wanafunzi wake Yesu walitumwa na Yesu mwenyewe kwenda kuwahubiri wengine habari zake (Yesu) na aliwapa amri ya kuponya wagonjwa na kutenda miujiza mingine pia; wanafunzi waliporudi walimwambia hivi, "Bwana, hata mapepo (majini) yalitutii kwa jina lako" Yesu nae akawajibu hivi, "Msifurahi kwakua mapepo yamewatii kwa jina langu bali furahini kwakua majina yenu yameandikwa katika kitabu cha UZIMA" now, kama kweli wote hapa tumemwamini Yesu/Issa then tukikutana na mtu amepagawa na majini (hi kitu ipo sana kwenye jamii zetu) tuwatulize hao watu kwa kutumia jina la Issa and see what will happen; hilo moja lakini linguine ni hili; tunakubaliana kimsingi kwamba jina Issa kwa maana ya Yesu limeandikwa zaidi na Quaran na sio Biblia, well and good, jaribu kaungalia huyu Issa alizalwa sehemu gani na then nenda kwenye Biblia angalia YEsu alizaliwa sehemu gani, this is what you notice; Yesu kazaliwa kwenye HORI la kulishia ng'ombe ilihali Issa kazaliwa chini ya Mtende. Mtu mmoja hawezi zaliwa sehemu mbili tofauti Abadan. Naendelea kusisitizia, Yesu si Issa, Issa ni mtu/nabii mwingine kabisa na Yesu ni mwingine kabisa; hawafanani. Ukifatilia sana utakuja gundua hata makabila yao ni tofauti, Yesu anatokea kwenye kabila la Yuda wakati huyo Issa ana unasaba na nabii Musa ambaye kwa mujibu wa Biblia alikua kabila la Lawi.