Kumbe Yesu alikua mfuasi wa Buddha

Kumbe Yesu alikua mfuasi wa Buddha

Mimi ni mmoja wao nisie amini kwamba Yesu na Issa ni mtu mmoja; Niambie hilo jila la Issa ni la lugha gani? Maanake Biblia za Kingereza Yesu zinamuita Jesus, ya Kiarabu Yesu inamuita YASU, Issa ni lugha gani!?
Unataka tuanze kujadili hayo majina?
 
Mimi ni mmoja wao nisie amini kwamba Yesu na Issa ni mtu mmoja; Niambie hilo jila la Issa ni la lugha gani? Maanake Biblia za Kingereza Yesu zinamuita Jesus, ya Kiarabu Yesu inamuita YASU, Issa ni lugha gani!?
Ngoja nikupe taarifa ambayo huijui hata hilo jina Jesus hajawai kulisikia ni jina la kilatin lilipatiakana miaka 300 baada ya yeye kuondoka jina Jesus hata ushahid upo leo sio jina la kiyahud ni majina ya kilatin haswa nchi zinozozungumza kiispaniola ndio majina yao sio wayahud...katika harakati za kukusanya vitabu vya bible moja kaz ilikuwa ni kubadili majina kutoka kwenye asili yake na kuyafanya ni ya kilatin
Yohan-wakamjita John ila kiarabu anaitwa Yahya
Yacobo- wakamita Jacob ila kiarabu ni yakubu
Yosefu- wakamuita Joseph ila kiarabu anaitwa Yusuph
Isso- wakamuita Jesus ila kiarabu anaitwa Isaa

Kuna siri kubwa kwenye lugha ya kilatin juu ya Herufu J zipo nchi zinasheria ya J ukiwa huna mamalaka yoyote ya kiutawala au kitakatafu J ya jina lako itatamkwa kama H ila kama upo kweny mamlaka ndio itatamkwa J...biblia ya kiarabu na wao wanaamin kama wewe hawawez kiandika isaa sababu wanatumia nible hiyo hiyo mlioandikiwa na kina poul na hata hilo jina huku mnaita Yesu,africa magharib wanaita Jesu wazungu wanaita jesus waarabu wakristo wanaita Yasu

Yesu alizaiwa na mama ake akamuita isoo na jina lingine Yoshua hilo Jesus hajawahi kulisikia kama ambavyo neno ukristo hajawahi kuuhubiri wala kuusikia kama ambavyo kitabu kinaitwa biblia hajawahi kukisikia,kukitamka wala kukihubiri..!

Password za watu hizo
 
Salute Comrades.
Ahsante kwa mada nzuriii
Ila mkuu naomba mtambue kua yapo mengi ya kuhusu yesu hayapo kwenye bible lakini yameandikwa kwenye vitabu vingine vya kimapokeo (Maandiko ambayo hayakujumuishwa kwenye biblia) .
Hivyo swala la kusema Yesu from 13-29yrs alikua wap mbona habar zake hazijaandikwa? Zipo kama injili 20 hivi ambazo ziliachwa moja wapo wa injili inayoelezea maisha ya utotoni wa Yesu ni Injili ya Bikra Mariamu mengi yameelezwa humo. Hizo habar kwamba Yesu alienda Sijui wapi huko ni Uongoo ambao miaka yote unaozushwa kama kuwa na mahusiano na Maria Magdalena but it is a hoax stories. Ikumbukwe yaliyomo kwenye bible ni Mahususi kwa kukuza imani ya waaamini.
Ahsante
asante sana mkuu. nilikuwa bado nafikiria nicoment nini hapa lakini umenisaidia.
 
Ngoja nikupe taarifa ambayo huijui hata hilo jina Jesus hajawai kulisikia ni jina la kilatin lilipatiakana miaka 300 baada ya yeye kuondoka jina Jesus hata ushahid upo leo sio jina la kiyahud ni majina ya kilatin haswa nchi zinozozungumza kiispaniola ndio majina yao sio wayahud...katika harakati za kukusanya vitabu vya bible moja kaz ilikuwa ni kubadili majina kutoka kwenye asili yake na kuyafanya ni ya kilatin
Yohan-wakamjita John ila kiarabu anaitwa Yahya
Yacobo- wakamita Jacob ila kiarabu ni yakubu
Yosefu- wakamuita Joseph ila kiarabu anaitwa Yusuph
Isso- wakamuita Jesus ila kiarabu anaitwa Isaa

Kuna siri kubwa kwenye lugha ya kilatin juu ya Herufu J zipo nchi zinasheria ya J ukiwa huna mamalaka yoyote ya kiutawala au kitakatafu J ya jina lako itatamkwa kama H ila kama upo kweny mamlaka ndio itatamkwa J...biblia ya kiarabu na wao wanaamin kama wewe hawawez kiandika isaa sababu wanatumia nible hiyo hiyo mlioandikiwa na kina poul na hata hilo jina huku mnaita Yesu,africa magharib wanaita Jesu wazungu wanaita jesus waarabu wakristo wanaita Yasu

Yesu alizaiwa na mama ake akamuita isoo na jina lingine Yoshua hilo Jesus hajawahi kulisikia kama ambavyo neno ukristo hajawahi kuuhubiri wala kuusikia kama ambavyo kitabu kinaitwa biblia hajawahi kukisikia,kukitamka wala kukihubiri..!

Password za watu hizo
Naaaaam hii ndio JF intelligence ameuliza sentensi moja umejibu kwa paragraph iliyoshiba...
Ubarikiwe maalim
 
mleta mada asante kwa mada nzuri japo inaweza kua haina ukweli bali ni documentary za bbc zisizo n a mashiko.

lakini pia nimepitia maoni ya wadau kuhusiana na mada hii nimepata vya kujifunza vingi kuhusu imani yangu kwa Yesu na Mungu na wale walio ipokea imani hapo kabla.

ninachozidi kujua ni kua kuna vitu badso haviko sawa kwa habari za Yesu kama alivuo bainisha ndugu
zitto junior kwamba ni kikundi cha watu wachache walikaa waka amua hii iwe hivi ni hii iwe vile.

japo mimi ni mkatoliki nilie mtiifu na mkereketwa bado sisiti kutoa kosoa kwa kanisa langu kulitaka liitishe mtaguso mpya maana kume kucha mno.

hio ni moja kwa upande mwingine namuunga mkono ndugu mitale na midimu kwamba Yesu hivi au vile yote ya yote alizaliwa alikufa kwa msalba alifufuka na atarejea teena.

lakini kwa mujibu post kadha wa kadha zinazo endelea kujadiliwa hapa jamii intelligence kuna muonekano wa mapungufu makubwa yamebainika juu ya muundo wa Biblia, lakini pia zama hivi za leo kuna watu maarufu walio waalimu wa Biblia kama manabii mitume wachungai na waalimu na hapa kwetu tz wsapo sana , nawanatoa ushuhuda kwamba Mungu ame zungumza nao na kuwapa ujumbe na mafunua na mistari ya maandiko ya Biblia hii hii inayo onekana kupungua. swali langu kwa nini asiwaambie kitabu hicho mkitumiacho kimepungua. kweli mwakasege ameshindwa kugundua yalio fichwa hali yakua ni mwalimu mbobezi kwenye Biblia. au kanisa la kisabato lililo na utaalamu wa maandiko ya Biblia.

lakini iwe iwavyo uwepoi Kristo haupingiki na marejea yake hayazuiliki, yaliofichwa yatawekwa wazi kama umuhimu wake utakuwepo, ilaa hilo l,a kuwa ni mfuasi wa budha ni ngano\hadithi\tungo\ simulizi zilizo na mashaka makubwa sana juu ya ukweli wake.
nawatakieni kila jema..
Hii post yako imenifikirisha sana hasa hapo nilipobold ntarudi baadae... Ubarikiwe mkuu
 
Ukisema budha alimtangulia Yesu utakuwa unamchukulia Yesu kama binadamu wakati kwa sisi tulioamini tunaamini Yesu alifanyika kuwa mwili kwa mariamu tu ila alikuwepo kabla hata dunia haijaumbwa

Mahubiri ya budha na Yesu pia ni vitu viwili tofauti
Kwangu mimi nazichukulia ni stori za kuvutia watalii tu na hazina ukweli wowote
 
Pia ushahidi upo na unaonyesha katika kipindi chote hicho 13-29 alijishuhulisha na useremala ambao ulikuwa ni fani ya baba yake wa kufikia
Alipokufa huyu baba yake wa kufikia ndipo naye akaacha kazi hizo na kuanza kuhubiri ujumbe uliowashangaza wengi
 
Ukisema budha alimtangulia Yesu utakuwa unamchukulia Yesu kama binadamu wakati kwa sisi tulioamini tunaamini Yesu alifanyika kuwa mwili kwa mariamu tu ila alikuwepo kabla hata dunia haijaumbwa

Mahubiri ya budha na Yesu pia ni vitu viwili tofauti
Kwangu mimi nazichukulia ni stori za kuvutia watalii tu na hazina ukweli wowote
Ni kweli kabisa kwa wale wanaoamini katika Ukristu (christian doctrine) na mafundisho ya Biblia kwani kitabu hicho hufunza kuwa Yesu alikuwapo kabla ya ulimwengu kuwako. Kwa wale walio wasomaji wa Biblia hilo halina shaka kwani Yesu amenukuliwa akisema hayo kwenye Injili ya Yohana.

Lakini ni lazima utambue kuwa Mkristo ni mfuasi wa Yesu (kijana wa mbari ya Daudi aliyezaliwa na Mariamu mke wa Yusufu) aliyezaliwa kwenye mji Bethlehemua (Luk. 2:4) na kabla ya hapo hapakukuwa na mtu aliyepata kuishi na kuitwa Mkristo.

Kwa mujibu wa ushahidi mbalimbali wa kimaandiko pamoja na kihistoria, kundi la mwanzo la wafuasi wa Yesu lilianza kukusanyika mara baada ya Pentekoste kufuatia mahubiri ya Petro ambapo watu elfu tatu (3000) walibatizwa lakini watu hao bado hawakuitwa/kujiita Wakristo.

Wanafunzi wa Yesu pamoja na wale wote waliosikia mafundisho ya wanafunzi wa Yesu waliitwa Wakristo kwa mara ya kwanza huko Antiokia, na sehemu huesabiwa kama chimbuko la Ukristo kama doctrine. (Matendo. 11:26)

Mwisho, mahubiri ya Yesu na Buddha na Yesu hayana tofauti kwani wote walikua walimu waliofundisha watu upendo na unyenyekevu.
 
Ngoja nikupe taarifa ambayo huijui hata hilo jina Jesus hajawai kulisikia ni jina la kilatin lilipatiakana miaka 300 baada ya yeye kuondoka jina Jesus hata ushahid upo leo sio jina la kiyahud ni majina ya kilatin haswa nchi zinozozungumza kiispaniola ndio majina yao sio wayahud...katika harakati za kukusanya vitabu vya bible moja kaz ilikuwa ni kubadili majina kutoka kwenye asili yake na kuyafanya ni ya kilatin
Yohan-wakamjita John ila kiarabu anaitwa Yahya
Yacobo- wakamita Jacob ila kiarabu ni yakubu
Yosefu- wakamuita Joseph ila kiarabu anaitwa Yusuph
Isso- wakamuita Jesus ila kiarabu anaitwa Isaa

Kuna siri kubwa kwenye lugha ya kilatin juu ya Herufu J zipo nchi zinasheria ya J ukiwa huna mamalaka yoyote ya kiutawala au kitakatafu J ya jina lako itatamkwa kama H ila kama upo kweny mamlaka ndio itatamkwa J...biblia ya kiarabu na wao wanaamin kama wewe hawawez kiandika isaa sababu wanatumia nible hiyo hiyo mlioandikiwa na kina poul na hata hilo jina huku mnaita Yesu,africa magharib wanaita Jesu wazungu wanaita jesus waarabu wakristo wanaita Yasu

Yesu alizaiwa na mama ake akamuita isoo na jina lingine Yoshua hilo Jesus hajawahi kulisikia kama ambavyo neno ukristo hajawahi kuuhubiri wala kuusikia kama ambavyo kitabu kinaitwa biblia hajawahi kukisikia,kukitamka wala kukihubiri..!

Password za watu hizo
Tusibishane mkuu; fanya hivi; Biblia za Kiarabu zipo na kama wewe ni Muislamu that much will make our debate easy kwasababu unaweza kusoma maandishi ya Kiarabu zaidi kuliko Wakristo wengi, tafuta kila sehemu yenye Biblia ya Kiswahili mahali palipo andikwa Yesu then angalia kwenye Kiarabu jina hilo limeandikwaje, hilo moja but la pili ni hili, siku za Jumapili jioni nadhani kuanzia saa 12 jioni, TV ya ATN hua ina kipindi cha Waarabu ambao ni Wakristo, hua wanaimba na kuzungumza mambo kadhaa kwa lugha yao, sikiliza NENO YESU wanatamkaje!? Angalizo, usisikilize Waarabu ambao ni Waislamu, sikiliza wale ambao ni Wakristo, nasema hivyo kwasababu Qu-raan (samahani kama nimekosea spelling) inatumia neon Issa badala ya YASU. Kuhusu NENO Biblia, hilo nakubaliana na wewe kwa 100% kwasababu hata ukifungua ndani ya maandiko yote ndani ya "Biblia" hutalikuta hilo NENO Biblia hata sehemu moja zaidi ya kwenye GAMBA lake tu; sababu ni hi (wengi wanapotosha sana kuhusu hilo). Mwanzoni kabisa, vitabu hivyo vilikua separate, yaani vilikua kimoja kimoja vinajitegemea, yaani Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Kumbukumbu la Torati, Mambo ya Walawi Hesabu na vyote hadi 66/72 vilikua vinajitegemea; yaani ni kamam hivi, ukitaka kununua kitabu cha KUTOKA then unakinunua hivyo kilivyo chenyewe tu na vingine ni hivyo hivyo, baadae hivyo vitabu 66 au 72 vikaunganishwa na kua kitabu kimoja, baada ya kufanya hivyo then waunganishaji wakajiuliza hili BUNDA la KITABU tuliiteje!? Ndio wakasema, well, tuite "MKUSANYIKO WA VITABU" now remember wakati huo lugha ya Kiyunani/Kigiriki ndio ilikua Kingereza cha wakati huu, yaani sehemu kubwa ya dunia kwa maana ya LUGHA ya kimataifa ilikua hiyo of course hata Agano lote JIPYA liliandikwa kwa LUGHA hiyo pia, kwa bahati moja hiyo sentensi ya "MKUSANYIKO WA VITABU" kwa Kiyunani wao lipo neno moja tu yaani Biblos, so huo mkusanyiko wa hivyo vitabu 66 au 72 ukaitwa Biblos then Waingereza wakaita Bible na sisi Waswahili tukaita Biblia, you can call it MAKTABA if you want.
 
Teh teh yaani Yesu atoroke kuogopa kifo daah. Mkuu usipotoshe kua habar za utoto wa Yesu hazipatikani, sema yaliyomo kwenye biblia yaliwekwa kwa mahususi ya kukuza imani. Zaid ya Injili 20 ziliachwa zikapatikana 4 tu Luke,Mathew,Marko,John.
Hivyo waweza vuta picha ni habar nyingi kiasi gani ziliachwa
CC
Palantir
Yesu alipaa baada ya kufufuka watu walimuona anasepa zake sasa yupo mbinguni atarudi kuja kutunyakua
 
Siyo yesu huyu ninaemjua Mimi aliyekufa msalabani na kufufuka
hakuna habari iliyofichwa, Yesu akiwa mtoto alikulia Misri hadi herodi alipokufa akarudi nazareth akawa anamsaidia Yusuf baba yake mlezi kwenye ufundi selemara
 
Alirudi toka Misri akiwa na miaka mingapi?
 
Je, kulikuwa na Yesu mmoja tu wakati huo kwani Yesu Kristo ni yule wa Nazareti?
 
Ingekuwa ni kweli basi mitume walioachwa na Yesu Kristo, waliofanikiwa kwenda mashariki ya mbali ikiwemo bara hindi kuhubiri habari zake wasingeliuawa na jamii za watu wa huko (wengi wafuasi wa buddha)
 
Tusibishane mkuu; fanya hivi; Biblia za Kiarabu zipo na kama wewe ni Muislamu that much will make our debate easy kwasababu unaweza kusoma maandishi ya Kiarabu zaidi kuliko Wakristo wengi, tafuta kila sehemu yenye Biblia ya Kiswahili mahali palipo andikwa Yesu then angalia kwenye Kiarabu jina hilo limeandikwaje, hilo moja but la pili ni hili, siku za Jumapili jioni nadhani kuanzia saa 12 jioni, TV ya ATN hua ina kipindi cha Waarabu ambao ni Wakristo, hua wanaimba na kuzungumza mambo kadhaa kwa lugha yao, sikiliza NENO YESU wanatamkaje!? Angalizo, usisikilize Waarabu ambao ni Waislamu, sikiliza wale ambao ni Wakristo, nasema hivyo kwasababu Qu-raan (samahani kama nimekosea spelling) inatumia neon Issa badala ya YASU. Kuhusu NENO Biblia, hilo nakubaliana na wewe kwa 100% kwasababu hata ukifungua ndani ya maandiko yote ndani ya "Biblia" hutalikuta hilo NENO Biblia hata sehemu moja zaidi ya kwenye GAMBA lake tu; sababu ni hi (wengi wanapotosha sana kuhusu hilo). Mwanzoni kabisa, vitabu hivyo vilikua separate, yaani vilikua kimoja kimoja vinajitegemea, yaani Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Kumbukumbu la Torati, Mambo ya Walawi Hesabu na vyote hadi 66/72 vilikua vinajitegemea; yaani ni kamam hivi, ukitaka kununua kitabu cha KUTOKA then unakinunua hivyo kilivyo chenyewe tu na vingine ni hivyo hivyo, baadae hivyo vitabu 66 au 72 vikaunganishwa na kua kitabu kimoja, baada ya kufanya hivyo then waunganishaji wakajiuliza hili BUNDA la KITABU tuliiteje!? Ndio wakasema, well, tuite "MKUSANYIKO WA VITABU" now remember wakati huo lugha ya Kiyunani/Kigiriki ndio ilikua Kingereza cha wakati huu, yaani sehemu kubwa ya dunia kwa maana ya LUGHA ya kimataifa ilikua hiyo of course hata Agano lote JIPYA liliandikwa kwa LUGHA hiyo pia, kwa bahati moja hiyo sentensi ya "MKUSANYIKO WA VITABU" kwa Kiyunani wao lipo neno moja tu yaani Biblos, so huo mkusanyiko wa hivyo vitabu 66 au 72 ukaitwa Biblos then Waingereza wakaita Bible na sisi Waswahili tukaita Biblia, you can call it MAKTABA if you want.
Nadhan hukunipata vizuri hoja yangu nasema hata bible ya kiarabu ni tafsir kutoka bible ya kingereza ambayo nayo ni tafsiri kutoka original bible ya kigiriki na kilatin ambayo since day one inaandikwa waliatumia jina Jesus so uisitegee bible ya kiarabu ikaandikwa Issa...hoja hapa ni Je jina jesus linatafsiri mbona linaitwa kwa namna tofautu kulingana na maeneo au lugha nimekuambia africa magharibi wanaita JESU,huku kwetu na africa mashariki tunaita YESU, waarabu wanaita YASU, wa ulaya wanaita JESUS lipi jina lake sahihi aliloitwa na Mama yake...!..

vitabu vya kiyahud na injili zingine zilizokataliwa mamemuita kwa jina la Isoo na jina la Yoshoua na hiyo isoo kiarabu inatamkwa Isaa...Jesus sio jina la kiyahud ni jina la kilatin hata leo ushahid upo wa jina la jesus majina hayo unayakuta mexico,argetina na spain sio mashariki ya kati..ila jina la isoo haswa israel lipo mashariki ya kati ndio majina yao walio currupt bible walitaka ukristo uwe dini yao kutoka magharibi na majina yaitwe ya kutoka kwao na ndio maana waliwauwa wanafunzi wote wa Yesu waliobaki maana walibaki na msimamo wa Mungu mmoja na mafundisho ya kweli ya Injili....Yesu alikuja na injili sio biblia kilichopo leo sio injili ya Yesu ni simulizi za watu waliowasikia wanafunzi wa Yesu wakisimulia aliyoyafundisha Yesu...kama ambavyo kiislam hadith au mafundisho ya mtume ni maneno ya watu waliomsikia mtume akisema na yamewekewa masharti yazima wawe wamesikia zaid ya watu wanne ili yapitishwe kuwa sahihi chini ya hapo ya zaid yanawekwa kwa makundi na mwengine yameitwa dhaifu kuwa hayapewi uzito na yametenganishwa na Quran coz Quran iliandikwa muhamad akiwepo na alikuwa ana hakiki kila kikiachoandikwa kwa kusomewa na anathibitisha na alichagua waandishi 12 wa kuandika Quran ndio maana imebaki kama ilivyo had leo..!..

Sasa bible haiko hivyo Yesu hakuacha maandiko na yaliyobaki watu waliya currupt ili kuendena na iman zao za Tamuz.!..

iman ya Tamuz ndio iman mama ya kanisa katoliki waliuvamia ukristo wakiamin kupitia kwao watafika mbali duniani ni iman ya kuabudu masanamu na wafu..na Tamuz kwao ni Mungu mkuu ambae mtoto wake akizakiwa tarehe 24 ya kuamkia desemba ndio wakaipachika cristimass akaitwa mwana wa Mungu mama yake ni Febros mwez february ndio maana unasiku 28 na ikiwa january au Mugu Janus itakuwa ina siku 30 february itakuwa ina siku 29 mantik yake siku tatu zinaopungua ni yuko bleed katufute habari za miungu ya kiroma kuanzia january had desema ni majina ya miungu ya kiroma ambayo wameimbatanisha na kanisa na lego lao la kuutawala ulimwengu ulifanikiwa hata siku hizo monday to sunday ni siku za kuabudu miungu yao na majina yana maana zake hata vyomba vinavyoruka angani ni lazima vipewe majina ya miungu ya kiroma hata majina ya sayari isipokuwa sayari yetu ni majina ya miungu ya kiroma..!..

Vipo vingi vya kujifunza dunia ina mambo mengi sana baadhi ya makanisa yalinzishwa kwa watu kujitoa baada ya kugundua haya kwenye kanisa katoliki hata ishara ya msalab ni ishara ya Mungu Tamuz msalaba unasimama badala ya herufi t na wameunganisha humo..!

Shinda yangu kubwa kukuonesha how much this is man made religion and how much it is currupted.!
 
and which religion is not man made. What I know is that 'All alive religions are man made' God created spirituality only and he did not make any religion.
 
Back
Top Bottom