Kumbe Yesu alikua mfuasi wa Buddha

Ok, now lets do this one in order to prove of either Yesu ndio Issa au laa.
Kunandiko moja Yesu Kristo kabla hajaondoka duniani aliwaambia wanafunzi wake hivi; ".....na inshara hizi zitaambatana na wao waaminio, kwa jina langu ....,watakemea mapepo nayo yatatoka..." Mathayo 28:20 nadhani, again siku moja wanafunzi wake Yesu walitumwa na Yesu mwenyewe kwenda kuwahubiri wengine habari zake (Yesu) na aliwapa amri ya kuponya wagonjwa na kutenda miujiza mingine pia; wanafunzi waliporudi walimwambia hivi, "Bwana, hata mapepo (majini) yalitutii kwa jina lako" Yesu nae akawajibu hivi, "Msifurahi kwakua mapepo yamewatii kwa jina langu bali furahini kwakua majina yenu yameandikwa katika kitabu cha UZIMA" now, kama kweli wote hapa tumemwamini Yesu/Issa then tukikutana na mtu amepagawa na majini (hi kitu ipo sana kwenye jamii zetu) tuwatulize hao watu kwa kutumia jina la Issa and see what will happen; hilo moja lakini linguine ni hili; tunakubaliana kimsingi kwamba jina Issa kwa maana ya Yesu limeandikwa zaidi na Quaran na sio Biblia, well and good, jaribu kaungalia huyu Issa alizalwa sehemu gani na then nenda kwenye Biblia angalia YEsu alizaliwa sehemu gani, this is what you notice; Yesu kazaliwa kwenye HORI la kulishia ng'ombe ilihali Issa kazaliwa chini ya Mtende. Mtu mmoja hawezi zaliwa sehemu mbili tofauti Abadan. Naendelea kusisitizia, Yesu si Issa, Issa ni mtu/nabii mwingine kabisa na Yesu ni mwingine kabisa; hawafanani. Ukifatilia sana utakuja gundua hata makabila yao ni tofauti, Yesu anatokea kwenye kabila la Yuda wakati huyo Issa ana unasaba na nabii Musa ambaye kwa mujibu wa Biblia alikua kabila la Lawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…