Tetesi: Kumbe yule mkuu wa kikosi Cha watekaji anaitumikia Rwanda toka mwaka 2007?

Tetesi: Kumbe yule mkuu wa kikosi Cha watekaji anaitumikia Rwanda toka mwaka 2007?

Hakuna kitakachoungua ni wewe nyumbu ndo utakufa ndugu zako wajilizelize mitandaoni
 
Hii taarifa nimeipata kutoka ndani ya idara ya ujasusi ya Rwanda.

Propaganda zisizo na ukweli. Wauaji ni vyombo vya dola vya Tanzania chini ya amri toka kwa amiri jeshi mkuu ambaye kila mara alipenda kujitambulisha yeye ni amiri jeshi mkuu kama tumesahau

TOKA MAKTABA :

PROPAGANDA YA UWEPO WA WAGENI, NI MFU NI VYOMBO VYETU NDIYO HAO "WAGENI' AMBAO HATA SAMIA ALIDAI WAPO NCHINI
1763233961570.jpeg

Katika ulimwengu wa vyombo vya usalama, kujitungia lugha isiyoeleweka na wenyeji siyo jambo geni.

Lakini ni jambo geni hasa pale vyombo vinapotumika kuuwa raia wake ndani ya mipaka ya taifa lao kama ilivyotokea kati ya tarehe 29 Oktoba 2025 na tarehe 02 November 2025 nchini Tanzania

Historia inaonesha wakati wa vita kuu ya dunia World War II taifa la Marekani ilipokuwa inapigana na taifa la Japan, wajapani walikuwa wamejitayarisha kuimanya lugha ya kiEnglish almaarufu Kiingereza. Hivyo operesheni zote za Marekani wajapani walikuwa na uwezo wa kusikiliza na kutumia advantage hiyo kupambana na Jeshi la Marekani

Hivyo kuzuia turufu ya Wajapani kufahamu operesheni za wamarekani, jeshi la Marekani liliamua kutumia lugha ya jamii ya wahindi wekundu wa Marekani katika mawasiliano ili kuzima turufu waliokuwa nayo Wajapani kuelewa operesheni za Jeshi la Marekani.
1763233918160.jpeg

Kabila hilo dogo la nchini Marekani iliwapa usiri mawasiliano na pia operesheni zao kutofahamika.

Kabila hilo ndani ya Marekani likipatikana Navajo na ndani ya jeshi la Marekani walikuwapo wanajeshi wao waliokuwa wanazungumza lugha hiyo isiyo fahamika kwa Wajapani. Lugha hiyo ilipewa jina Navajo Code Talkers

Sasa turudi nchini Tanzania madai ya kuwepo wageni wanaopiga risasi wageni au wageni kukamatwa ni propaganda za vyombo vya usalama vya Tanzania.

Ambapo vyombo hivi vya usalama walitunga lugha yao ya siri ya kioperesheni ambayo raia wa makabila 120 yaliyopo Tanzania hata yale makabila ya mpakani hawajawahi kuisikia lugha hivyo ya kutunga ya vyombo vya usalama vikiwa vinatekeleza mauaji kwa kutumia maneno yasiyofahamika na waTanzania lakini yanayo toa ufahamu vyombo kushambulia, kukimbia, kurudi nyuma, kuondoka n.k


 
Kuna mtu maarufu Sana katika utekaji kumbe ni mfanyakazi mtiifu wa kagame

Wanamtandao wamemtumia bila kumfahamu vizuri kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya matumbo yao mbele

Nawaambia Samia asipojiuzulu kabla ya tarehe 9/12 Tanzania inaenda kuungua.

Hii taarifa nimeipata kutoka ndani ya idara ya ujasusi ya Rwanda.
kwa hio aliletwa na SSH au JPM?
 
Unanibishia nini wakati mimi ndugu zangu nawajua. Tumeoleana sana na watu wa Kanda ya Ziwa. Nawajua. umamani mimi ni Mara. Nawajua watu visiwa vya Ukara, Mara, Tabora, Mwanza na Kagera wanatamka hivyo waliokulia mashambani.
Kwahiyo na wewe nne unaita inne?
 
Kuna siku nilimsikia akitamka 4 "inne" nikajua hapa tumepigwa. Kama hamuamini mtafuteni mumpe maneno yenye 4 nyingi mshuhudie
 
muulize mwenye hoja yake kama uko against mimi, na kwanini JPM ambae si mwanamtandao aliendelea kuwatumia watu hao kwa kasi kubwa zaidi
Plausable deniability, ninrahis kuwa dispose hao watu kuliko kum dispose mtanzania halisi.
Is why bado wanakumbatia
 
Mkiambiwaga mnapaswa kutafakari kabla ya kujibu, kumbuka walisema tarehe 29October wataandamana watu wakabisha na kilichotokea Kila Moja kashuudia...kwa wale wazee wa uchaka unaambiwa ukisikia tetesi hata km siyo kweli ifanyie kazi hata km ni uwongo maana kupitia hizo kauli....watu uwa wanajaribu kupitia hizo hizo taharifa.
Tz ni nchi kubwa jin
 
Back
Top Bottom