#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Ni sawa.

Zanzibar ni nchi kamili!
 
Wafundishe wajinga haoo
 
Huyu mvaa Madera mbaya Sana make , Mtanganyika yoyote anapohoji uhalali wa mikopo anachukia Sana,Kwani Ndungai alikuwa anakosa Gani kuhoja 1.3 tillion??
 
Hiyo pesa ni nyingi sana

Dar es Salaam ina watu wengi kuliko Zanzibar lakini hawajapewa hicho kiasi
Tuwe fair kidogo. Dar Es Salaam si Nchi, Zanzibar ni nchi hivyo mgao huo unatoka na privilege ya semi-autonomy iliyonayp!
 
Hawa watu ni wajinga na Wana chuki Sana na Wazanzibar kila uchaguz wanavamia visiwa wanaua na kubaka vile watakavyo
 
Hiyo ni 16% kwa Idadi ya Watanzania wote, ambao ni chini ya 4%.

Of course SSH anasimamia maslahi ya Zanzibar. Hakuna jipya hapo.

Ndio maana unaweza kumfukuza yoyote anayehoji na kujali maslahi ya Watanganyika. Watanzania wote milioni 60.
Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano kwa hiyo ni sawa. Hivi SSH asingejali kwao hata mimi ningemshangaa. Lakini pia kwa mtu makini, Ndugai hajafurushwa kwa kuhoji mkopo pekee. No. Ni accumulation ya mambo mengi aliyoyafanya chini kwa chini na wazi wazi kuutweza uanamke wa Rais wa Tanzania na urais tangu JPM afariki. Amejitahidi kuonyesha dunia kwamba Rais SSH si lolote si chochte. Amelelewa na mwisho akaingia 18 za mama. Na mama & co wamempokea mithili ya mwizi aliyeruka ukuta akakutana na German shepherd. Upande mwingine, hakuna mwenye huruma ya dhati kwa Ndugai kwa sababu ameonekana ni mtu mwonevu, mnafiki, muuaji, mdhalilishaji, mwongo, mungu mtu, mwenye majivuno, mbadhirifu wa pesa za umma na madaraka. Wanaomtetea wana base kwenye hoja za kisheria, kiutaratibu na kujionyesha kwamba wapo na wanaweza kutetea. Salmin Amour alishawahi kusema chezea ndevu usichezee dola- na baadae yeye mwenyewe alichezea dola na kilichompata hatasau maisha yake. Nenda salama Ndugai na wengine mjifunze. Rais wa nchi hachezewi. Labda mbadili hiyo Katiba yenu mbovu!
 
Wachukue tu hiyo hadhi yao huko walikoitupa. Tumechoka kubeba rumbesa. Mtu kanchi kana watu maximum 2M kanakula bilioni 200 wakati Dar imekula bilioni 3 yenye watu milioni 7! Huu ni ujinga mwingine kutoka huko kwenye lichama lenye vichwa maji.
Mbona Chadema ina wanachama laki 7 inapata ruzuku tsh 170 milioni.

CCM ina wanachama milioni 29 inapata ruzuku tsh 1 bilioni.

Kuna uwiano hapo?
 
Kama ni hadhi kwanini wasifanye nusu kwa nusu tuelewe hyo hadhi.

Zanzibar ni kama popo mara ni ndege mara nimnyama.

Kopeni wenyewe mlipe wenyewe acheni kuitumian tanganyika kamamdhamini.

na mlipaji wenu.
Katiba ndio inayozuia.

Wazenji zaidi ya mwaka wa 30 huu wanapigania hiyo haki ya kukopa bila ya udhamini wa Tanganyika kwa koti la Muungano na hawajaipata.

Watu mnawafunga mikono na miguu halafu mnawaambia waogelee.

Kumbuka suala la OIC. Lililozaa G55, hatimae Waziri Mkuu John Samwel Malecela na Katibu Mkuu wa Chama Dola Horace Kolimba kupoteza nyadhifa zao.
 
Mama si awape wanachotaka koti limetubana watanganyika tullivue.
 
Uchawi si wanabunge lao linakatiba yao au?
Walitoa mafuta kwenye muungano wameshindwa kutoa mikopo kwenye muungano?
 
Duh....!
 
Uchawi si wanabunge lao linakatiba yao au?
Walitoa mafuta kwenye muungano wameshindwa kutoa mikopo kwenye muungano?
Ndio uchawi wenyewe huo. Unatokana na roho mbaya eti kuidhibiti Zanzibar, kwa maneno ya Lukuvi na wenziwe kule kanisani. Afu mimi nilidhani kule sio mahala pa siasa; au ndo dini yenyewe?. Ila Zanzibar itaendelea kwa uwezo wa Mungu.
 
Usitoke povu wewe shoga wa kizenji nilikuhisi siku nyingi kuwa weye ni mtoto mchele mchele yaheee wa kizenji ,au hao mabasha wa kizungu wanao kuja kwenu ndiyo wanawapa kichwa[emoji1787][emoji1787]
 
Hawa watu ni wajinga na Wana chuki Sana na Wazanzibar kila uchaguz wanavamia visiwa wanaua na kubaka vile watakavyo
Wazenji mmecharuka wabara mnatuchukia ila mabasha ya kizungu mnayapenda huko kwenu [emoji1787][emoji1787]sasa salama yenu ni mama kuvunja muungano tu kama akiondoka bila ya kuvunja muungano mapema au kuweka serikali 3 basi itakuwa imekula kwenyu tutawakomesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…