Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Tunahitaji Tanganyika yetu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wastaji wa Tshs. 117,650/- kwa Kila Mzanzibari.Bil mia mbili kwa watu mil 1.7?
Hii kitu sasa, ndiyo ilipaswa February kikao cha Bunge, Ayubu awaandae wabunge wajadili, siyo kuropokea huku mitaani.Ngoja nikupe hesabu.
Jumla ya mkopo 1.3trillioni
Hizi ni sawa na 1,300billioni
Nusu ya hizi imetumika kulipa mkopo
Unabaki na bilioni 650
Toa bilioni 200 za zenji unabaki na bilioni 450.
Kwa hiyo zanzibar wamepata bilioni 200 na ushee.
Bara tumepata bilioni kama 400 hivi.
Hapa ni sawa kweli?
Tupo wengi bila kujali Chama.kumekucha huku.. now kuna kundi la Watanganyika wasio utaka muungano kwa madai Zanzibar inapendelewa.
Zanzibar haijawahi tenga bajeti ya kulipia mikopo ya nje ya nchi
Na mimi pia nipo..Tupo wengi bila kujali Chama.
Piga hesabu we zumbukuku unaona pesa ndgo hzo kupewa nyie watto wa ulijo hapo kila mla ulojo anaondoka na pesa yakeMjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
Majitu yana chuki Sana na Samia,vinatafutwa visingizio vya kijinga mara anateua Waislam,mara anapendelea Zanzibar,mara Urais umemshinda,saiz wako na single mpya mara ana homa ya 2025 hajiamini ,mara serikali ya mpito.Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Hiyo ni asilimia 0.0154Yaani Zanzibar wamepewa 20% ya pesa yote iliyokopwa Kwa kweli mama amejua kuwapendelea yaani katika 1.3 trillion Zanzibar imepelekwa 200 billion tzsh. Zanzibar ni Sawa na wilaya moja ya Tanganyika wamepewa mahela yote hayo nasema mama hastahili kuwa Rais wa hii nchi hata kidogo . Upendeleo mkubwa kuwahi kutokea tokea hii nchi ipewe Uhuru . Tena hizi pesa walipaji ni watanganyika wako wapi akina Lissu wa kulisemea hili.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo Zanzibar ni Nchi hiyo mingine ni mikoaUkizijumlisha hela za COVID 19 zilizopelekwa Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Tanga & Morogoro bado haziifikii hela iliyopelekwa Zanzibar
Zanz ni Nchi usifananishe na MkoaBilioni 200 kwa Zanzibar pekee ni hela nyingi mno
Kwa upande wa Tanzania bara mkoa moja unapata average ya Bilioni 15
Kwa hizo Bilioni 200 kwa Tanzania bara ingepata mikoa takribani 10
Acha upunguani wako wewe,unajua hata bajeti ya serikali ya Zanzibar wewe?Ration ya hiyo pesa inawatosha kuendeshe ... serikali yao..., na kubaki kwa matumizi ya kugawa mishahara kwa watumishi...
In approximately Zanzibar populations is 1.3 mil.
Job Ndugai alikuepo na haja ya kuona mkopo hauna Faida yeyote Ile kwasababu pesa nyingi zimepelekwa Zanzibar. Kwanini wapinzani wa sasa wanashindwa kuwa jasiri kama marehemu Mch Christopher Mtikila alivyokuwa anazungumzia haya masuala ya jinsi Tanganyika inavyoinufaisha Zanzibar
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mwendazake alikuwa anawadhulumu stahiki yao.Aisee,,,kibilioni 200 kimewauma kishenzi 😁 je, kabla ya ujio wa mama samia znz walikuwa wanapata nini??
Kati ya Madeni yote aliyokopa karibu (Trillioni kumi) SSH ni alisimia ngapi zimeenda Zanzibar?
Kero za Muungano zimeondolowe,nyingi zimeisha, zimepunguzwa sana tunaambiwa.
Kwa makubaliano yapi, yalikuwa kati ya Wazenji wawili? Nini walikubaliana, tuwekewe wazi hivi vitu?
Ngoja nikupe hesabu.
Jumla ya mkopo 1.3trillioni
Hizi ni sawa na 1,300billioni
Nusu ya hizi imetumika kulipa mkopo
Unabaki na bilioni 650
Toa bilioni 200 za zenji unabaki na bilioni 450.
Kwa hiyo zanzibar wamepata bilioni 200 na ushee.
Bara tumepata bilioni kama 400 hivi.
Hapa ni sawa kweli?
Hii kitu sasa, ndiyo ilipaswa February kikao cha Bunge, Ayubu awaandae wabunge wajadili, siyo kuropokea huku mitaani.
Mbunge mmoja anapeleka dharura, yeye Spika anaruhusu mjadala. Bunge live wabunge wanalipuka, serikali inaambiwa ije na majibu. Wananchi tusingemkasirikia mgogo.
Everyday is Saturday...........................................😎
Majitu yana chuki Sana na Samia,vinatafutwa visingizio vya kijinga mara anateua Waislam,mara anapendelea Zanzibar,mara Urais umemshinda,saiz wako na single mpya mara ana homa ya 2025 hajiamini ,mara serikali ya mpito.
Yaani yote haya ni wivu kwani ana wa outperform kwenye kila sekta