johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa....... Watu bilioni moja?Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
China hiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....... Watu bilioni moja?Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
Ukizijumlisha hela za COVID 19 zilizopelekwa Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Tanga & Morogoro bado haziifikii hela iliyopelekwa Zanzibar
Wewe umejuaje kuwa wamepokea hizi pekee?Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Hebu weka picha ya Chato international airport ilivyo kali kuliko KIA.Chato Airport umeisahau?
Hivi kwa nini mmelegea sanaVijisenti tuu hivi vinawatoa roho. Kweli machogo mna shida.
Tukivunja mtakula nini? Kulima tu hamuwezi, legelegekama mmeumia zanzibar kupewa huo mgao badi vunjeni muungano mbona mnaung'ang'ania? vilaza nyie
Bora ya Chato; kwani iko Tanganyika, Chato wanachangia mfuko mkuu wa hazina (through kodi ya TRA) lakini kinachokusanywa Zanzibar hubaki ZanzibarChato Airport umeisahau?
Kwa mujibu wa waziri!Wewe umejuaje kuwa wamepokea hizi pekee?
Sasa Zanzibar peke yake bil.200, Dar Es Salaam yenye watu mil. 6 imepata kiasi gani?Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Zanzibar inapata mgao kama nchi.
Dar es Salaam siyo nchi!Sasa Zanzibar peke yake bil.200, Dar Es Salaam yenye watu mil.6 imepata kiasi gani?
Assignment kubwa sana kwangu mkubwaEbu weka picha ya chato international airport ilivyo kali kuliko KIA.
Hata hicho kinachokusanywa na hiyo Chato international Airport kinachangia maendeleo ya zenjiBora ya Chato; kwani iko Tanganyika, Chato wanachangia mfuko mkuu wa hazina (through kodi ya TRA) lakini kinachokusanywa Zanzibar hubaki Zanzibar
Hakuna shida,Dar es salaam siyo nchi!
Pamoja sana
Chato Airport umeisahau?
Wakhojani tupo kwenye stress kubwa sana kuelekea 2025Kwa hii stress tutegemee lolote
Bilioni miambili kwa Zanzibar ni hela nyingi mno....hivi bajeti yao kwa mwaka ni bei gani?
Bilioni 200 kwa Zanzibar pekee ni hela nyingi mnoUkiangalia ukubwa wa Zanzibar na Tanganyika uwiano huo unaziona kidogo hizo?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Bil mia mbili kwa watu mil 1.7?Kwa mujibu wa waziri!