Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

Ndo ivo
 
Yap Kuna ukwelii Kama Sina hisia na wewe...usipotezee Sana mudaa..
 
Hakuna kitu kizuri kumtongoza mwanamke live. Au nyie midomo zege nini!?
Kutongoza Mwanamke live dunia ya sasa sio rahisi
1)Watu wako bize Sana
2)Mpaka mwanamke akubaoi meeting na hajawa mpenzi bado mbinde nk

80% ya MAHUSIANO Dunia ya sasa wanatongozana kwa sms
 
Don't talk only of nature. There is also narture. Katika traditional environment yetu hakuna namna a lady will say yes straight away.
 
Watakuja kukushambulia vijana walioalibiwa akili na filamu za kifilipino. Ni upuuzi kwa kweli yaani demu umhudumie, mkipanga mechi kuanzia usafiri, nauli,msosi vyote ugharamie, kwenye 6x6 jukumu la kumfikisha kileleni ni lako alafu bado ukimhitaji uanze kulia lia huo ni ujinga
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dominic mann says;

"GIVES ZERO https://jamii.app/JFUserGuide, ACT LIKE YOU’RE THE PRIZE...
Don't act needy,

As 50 Cent says, he’s lost paper chasing pussy, but he’s never lost pussy
chasing paper.

Women love ambitious men.
And no, it’s not because women are after the money ambitious men
have a higher purpose, a “mission”, a big goal
that they obsessively pursue."
 
Haya mambo omba yasikukute. Siku umekutana na yule umempenda utataka hata kumletea Mlima Kilimanjaro. Mapenzi yana nguvu kuliko mauti kwa hiyo hakuna haja ya kujipa ushujaa. Hapa JF ni rahisi ku-comment kishujaa ila huko pembeni ni kilio. Twende na wanawake kiakili.
 
Uoendo wa aina hio huja baada ya kuishi kwenye mahusiano tiali Sasa ndio upo stage ya kutongoza hapo
 
Ni kweli kabisa, wanawake wa sasa hata kama ushamuoa, hutaka kutawala, hata unyumba umuombe kwa kumbembeleza
 
Nakataa, upendo hauleti stability ya mahusiano sembuse kumpata 😆 😆 😆
 
Sasa kama unajua wanapreference zao, kwanini unataka kucheza mind games kwenye swala linalohusisha ridhaa za watu wawili. I really don't get it? Kumkosa mtu haimaanishi kwamba utakufa au hautaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…