Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

Siku hizi naamini orodha ya mafisadi papa 10 itakuwa na watanzania weusi - tena wanachama mashuhuri wa vyama vya siasa.
 
Wenye kumbu kumbu ya hilo tukio, Tunaumba tuongezeenu maarifa sisi watoto wa Juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…