Kumbuka haya Pep Guardiola kabla ya mechi ya Barcelona vs Man City

Mwambieni ajiandae na huku epl kuendelea kuchezea vipigo tu
 
Man City imekuwa nyepeeesi kama sufi. Falsafa ya tick-tack imedoda na inaonekana ni mfumo usioendana na soka la Uingereza. Atafute mfumo mwingine katika mechi ya marudiano la sivyo aandae makapu ya magoli.
 
Guardiola anamuamini sana kipa wake Bravo kwa mfumo wake lakini mpaka sasa ndio mchezaji aliyeboronga kuliko wote.
Halafu unapocheza na Barca ukacheza kama wanavyo cheza wao basi ujue utaumia sana.
 
Mkuu umetisha, na kweli ndicho kilichotokea. Pep kaadhibiwa kifo cha Mbwa mwizi.
 
Mkuu umetisha, na kweli ndicho kilichotokea. Pep kaadhibiwa kifo cha Mbwa mwizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…