Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Barcelona vs Manchester City
Score: 4 - 5
Min: 79
[emoji460] Goal!! Company
Mkuu sijakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barcelona vs Manchester City
Score: 4 - 5
Min: 79
[emoji460] Goal!! Company
Kidogokidogo ataanza kuongeza upana visuruali vyake
Mkuu umetisha, na kweli ndicho kilichotokea. Pep kaadhibiwa kifo cha Mbwa mwizi.Wana Jf
Tumkumbushe haya Pep Guardiola kabla ya mechi yake dhidi ya Barcelona.
Tumkumbushe ndugu yetu Pep kuwa kipind yupo Barcelona aliweza kuwatesa sana wenzie kifikra hadi kimwili kupitia mtu mmoja tu ambae ni Lionel Messi ambae nae anaenda kukumbana nae siku ya leo ingawa hayupo fit kimwili kama walivokutana nae wenzie.
Pep aliweza kukaa benchi la ufundi kipindi yupo Barcelona huku akijua kijana wake atamaliza kazi yote aliyomtuma.
Kwa mfano kama mechi dhidi ya Real Madrid akimuadhibu Mourinho ambae yupo nae EPL kwa sasa pia akimuazibu mzee wa watu Alex Ferguson mpaka kutetemeka au pale alimpomfanya mzee Wenger awalalamikie UEFA kuwa wanamuonea kumkutanisha na hiyo timu kila mara wakati mbaya wake yupo .
Note:
Pep Guardiola yule uliemtumia kuwaadhibu wenzio ndo yule yule anaenda kukuadhibu tena leo kama wenzio walivoadhibiwa au alivokuadhibu msimu wa 2014-2015 wa UEFA.
Kyenekyaka mkighanile une

Ni utani mkuu kwa waliotaka Barcelona ipotezeMkuu sijakuelewa
Umeyaona baba niliyokueleza nae jana wakat anaadhibiwa alikaa kimya kama wenzie mana alijua hiloNgoja tusubiri si kula Siku ni sherehe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kidogokidogo ataanza kuongeza upana visuruali vyake