Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Wewe umechelewa kufika, hiyo kumbukizi mwanzo haikuwepo nadhani ni moderators wamemsaidia.Title inajieleza ndio maana mtoa mada akasema kumbukizi
Wewe umechelewa kufika, hiyo kumbukizi mwanzo haikuwepo nadhani ni moderators wamemsaidia.Title inajieleza ndio maana mtoa mada akasema kumbukizi
Lakini yeye hajamzungumzia Dudubaya kama ulivyodai kwenye maelezo yako.Dudubaya ndiye anamuandama na tuhuma za ushoga hadi anamnyima amani mkuu.
Akihama tu muziki wa bongofleva unakufa.
Kweli ahame tu mjinga sana ushaambiwa haina maadili unataka uharibu kizazi kwa sababu tiffah hana pempas? Mlete na mamaake tutamuhudumiaAhame tu.
Mbona hajahama.huwezi kuharibu maadili ya nchi kisa unaperfom nchi nyingine.hakuna nchi itakubali ufanye unavyotaka.kila nchi huongozwa na taratibu,kanuni miongozo,na sheria.Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz wakati akihojiwa na Kituo cha Redio cha Times FM mwaka 2017 alionyesha kusikitishwa na kitendo cha BASATA kufungia nyimbo zake kwa kisingizio kuwa hazina maadili.
"Mkinifungia nyimbo hainipunguzii kitu. Nyimbo ikiwa imefungiwa naenda nayo nje nitai-perform tu. Nikiona hutaki ni-perform si naondoka nakaa nchi nyingine tu. Nabaki huko na-perform nyimbo zangu. Kwa sababu sheria inakataza nyimbo haichezwi Tanzania. Tamaduni za Kenya zinaruhusu, wewe unakataza nisi-perform kwa sababu gani? Kwa nini nisi-perform sasa? Unataka mimi nife na njaa? Unanilisha wewe? Tiffah utamnunulia pampers? Utanisaidia katika kulisha familia yangu? Unajua mimi nahangaika vipi? Kwa hiyo kukaa na kuona kwamba tunafanya kitu gani. Tuzungumze."
Akadokeza kuwa ikiwa hali hii anayokumbana nayo itaendelea, itabidi tu ahame nchi ambapo atakuwa huru kufanya sanaa yake bila bughudha wala kuingiliwa na mtu yeyote.
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono Bwana Diamond. Kama akiona Tanzania hawamuelewi, bora tu ahamie nchi nyingine, isiwe shida. Nabii hakubaliki kwao.
Kama hizo nyimbo ni za matusi mbona zinapendwa na jamii? Huwezi kuharibu burudani ya jamii kwa kisingizio cha maadili.Mbona hajahama.huwezi kuharibu maadili ya nchi kisa unaperfom nchi nyingine.hakuna nchi itakubali ufanye unavyotaka.kila nchi huongozwa na taratibu,kanuni miongozo,na sheria.
Jamii ya kiongozi ni mbwa haujui jema na baya.this is the end of the world.Kama hizo nyimbo ni za matusi mbona zinapendwa na jamii? Huwezi kuharibu burudani ya jamii kwa sababu za maadili.