KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

Mbona hajahama.huwezi kuharibu maadili ya nchi kisa unaperfom nchi nyingine.hakuna nchi itakubali ufanye unavyotaka.kila nchi huongozwa na taratibu,kanuni miongozo,na sheria.
 
Mbona hajahama.huwezi kuharibu maadili ya nchi kisa unaperfom nchi nyingine.hakuna nchi itakubali ufanye unavyotaka.kila nchi huongozwa na taratibu,kanuni miongozo,na sheria.
Kama hizo nyimbo ni za matusi mbona zinapendwa na jamii? Huwezi kuharibu burudani ya jamii kwa kisingizio cha maadili.
 
Kama hizo nyimbo ni za matusi mbona zinapendwa na jamii? Huwezi kuharibu burudani ya jamii kwa sababu za maadili.
Jamii ya kiongozi ni mbwa haujui jema na baya.this is the end of the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…