Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Bado ******Kuna watu Mungu huwatumia kupeleka ujumbe wakati mwengine,bahati mbaya wahusika mara nyingi hupuuza. Sasa Lema ya kwake haya hapa yanatimia. Na ya Magufuli yalitimia. Lumumba roho juu hawajui nani anayefuata kupewa ujumbe na Lema,huenda akawa Kingai.
Sent using Jamii Forums mobile app