Kumbukizi: Godbless Lema akivutana na polisi, yani nusu azichape!

Kumbukizi: Godbless Lema akivutana na polisi, yani nusu azichape!

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Nimekutana na hii video ikimuonyesha Godbless Lema akishikana mashati na askari polisi katika maeneo tofauti.

Sasa Juzi wakati Wakili Wakili Deogratius Mahinyila anakamatwa pale Mahakamani kihuni, niliona maoni ya watu wengi wakimlaumu sana Lema.

Inawezekana alizingua kiasi lakini Godbless Lema ni kati ya Watanzania wachache ambao hawana deni kubwa kwa Taifa hili.

Sio muoga.

 
Nimekutana na hii video ikimuonyesha Godbless Lema akishikana mashati na askari polisi katika maeneo tofauti.

Sasa Juzi wakati Wakili Wakili Deogratius Mahinyila anakamatwa pale Mahakamani kihuni, niliona maoni ya watu wengi wakimlaumu sana Lema. Inawezekana alizingua kiasi lakini Godbless Lema ni kati ya Watanzania wachache ambao hawana deni kubwa kwa Taifa hili. Sio muoga.

Angezichapa tu tukamzike kwa amani...
 
Inashangaza wanao mlaumu lema wapo na id fake mtandaoni, hata mahakamani hawaendi.

Hao ni wapumbavu
 
Mkinichagua nitamleta Arnold Shozniga kwenye mkesha wa mwaka mpya
 
Halafu kuna mbwa analeta uzi hapa eti kwamba Lema ni muoga. Lema hana deni chadema.
 
Back
Top Bottom