Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Angezichapa tu tukamzike kwa amani...Nimekutana na hii video ikimuonyesha Godbless Lema akishikana mashati na askari polisi katika maeneo tofauti.
Sasa Juzi wakati Wakili Wakili Deogratius Mahinyila anakamatwa pale Mahakamani kihuni, niliona maoni ya watu wengi wakimlaumu sana Lema. Inawezekana alizingua kiasi lakini Godbless Lema ni kati ya Watanzania wachache ambao hawana deni kubwa kwa Taifa hili. Sio muoga.
Ninavyoona hawa polisi wetu wakika watatu ni weupe kabisa,unaweza ukawafanya utakavyo ni wepesi mnoAngezichapa tu tukamzike kwa amani...
Inawezekana ukatangulia wewe!Angezichapa tu tukamzike kwa amani...
Usiniombee njaa basi mkuu, umesikia me nimetwangana makonde na maafande?Inawezekana ukatangulia wewe!
Siasa ni hekaheka.
Na wewe utakufa tu.Angezichapa tu tukamzike kwa amani...
Sawa, badobado nakula mema ya nchi...Na wewe utakufa tu.