Kumbukizi Godbless Lema: Samia alipokuwa Rais, nikamkumbuka Zamda. Nikasema moyoni Samia hana dhambi

Kumbukizi Godbless Lema: Samia alipokuwa Rais, nikamkumbuka Zamda. Nikasema moyoni Samia hana dhambi

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana

Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia.

Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia na x kama sio crush wake.

Nini kimetokea hapa katikati mpaka mambo yamekuwa mabaya kiasi hiki?

Ni CHADEMA au Samia ndo alikengeuka?

photo_2025-11-18_02-55-35.jpg
 
Madaraka Ya Kulevya.

Hakutakiwa kuendelea, Tena kwa kujichagua badala ya Kuchaguliwa kote chamani na Serikalini
 
Back
Top Bottom