tucker carlson Senior Member Joined Oct 5, 2025 Posts 182 Reaction score 759 Nov 18, 2025 #1 Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia. Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia na x kama sio crush wake. Nini kimetokea hapa katikati mpaka mambo yamekuwa mabaya kiasi hiki? Ni CHADEMA au Samia ndo alikengeuka?
Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia. Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia na x kama sio crush wake. Nini kimetokea hapa katikati mpaka mambo yamekuwa mabaya kiasi hiki? Ni CHADEMA au Samia ndo alikengeuka?
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Nov 18, 2025 #2 Madaraka Ya Kulevya. Hakutakiwa kuendelea, Tena kwa kujichagua badala ya Kuchaguliwa kote chamani na Serikalini
Madaraka Ya Kulevya. Hakutakiwa kuendelea, Tena kwa kujichagua badala ya Kuchaguliwa kote chamani na Serikalini
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Nov 18, 2025 #3 Na kweli. Samia hana dhambi ila kufuru.