Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Ilikuwa bia tamu yenye ujazo wa uhakika na kilevi cha kueleweka
Niliinywa kwa mara ya kwanza mwaka 1994 kwenye promotion iliyokuwa inaendeshwa na Prime time promotion pale Mwananyamala
Siku ya pili nilipitia hapo bar nipate mtori niwahi job nikaagiza moja ya kushushia.. By the time namaliza mtori nilikuwa tayari nina Serengeti ya pili
Siku yangu iliishia pale nikiwa nimekunywa Serengeti 22 lakini nilijifunza mambo ya ajabu pale
Saa 2-saa4
1.(A) Asubuhi wanakuja wateja waliozoeleka.. Hapa wameamka hawana kitu.. Wanakopa mtori ama supu na chapati 2, wanashushia na bia, maji ama soda
Hapo wanapiga simu mbili tatu wanaondoka
1.(B) Waliolala gesti nao na watu wao wanapata kifungua kinywa hapo! Nyuso zikiwa chovu na midomo ikitoa puyapuya la kilevi cha jana
Wana kaharufu kanakokera ka sabuni ya Eva, taulo za gesti na janaba za shuka za gesti na nguo zenye jasho.. Ni combination inayotoa harufu ya aina yake!
Saa 4 mpaka saa 7
2. (A) ni muda wa mipango.
Wale waliokopa asubuhi watarudi tena na watu wao.. Mipango itapangwa pale.. Japo wanaweza kulipa ama kunywa kidogo na kupata lunch kisha watapotea
2.(B) Wawindaji wa mapema hiyo ndio mida yao ya kuwinda ili kupata late breakfast aunt early lunch.. Na short time
3.(A) Saa 8- 12
Muda wa maokoto. Dili zimeshatiki.. Watu wanarudi kulipa bili za asubuhi, kuchafua meza sasa na kujenga heshima bar kwa kila aina ya mbwembwe.. Vipezoo ndio muda wao wa kuwasili
3. (B) kama kuna kipindi gesti zinapiga hela kwenye short time no hiki! Ile asubuhi ni ma HG na wake za watu lakini huu mchana ni michepuko na wanachuo kwa baadhi
Saa 12- 6 usiku
4. (A)Muda wa kuchafua meza kabisa kwa wapiga dili
.Wafanyakazi wenye ishu zao
.Wenye stress za ndoa na familia
. Wezi wa usiku
. Mafisi wawindaji wa jinsia zote
(B) Vitanda vya gesti vinakiputa..!kina watu jinsia zote wanapiga show mpaka 3 to faut I.. Ni kama vile shetani ndio kasimamia ukucha.. Yanayoendelea ni mengi sana!
Kona yangu niliyokaa nilikuwa pekeyangu nikiangalia kila kitu kama muvi ya kufurahisha kutisha kushangaza na kustaajabisha kabisa
Bia ya mwisho nilimaliza saa 5:40 usiku.. Dakika chache kabla bar haijafungwa!
Nililinganisha vifuniko na bili vililandana! Bia 22 tangu saa 2 asubuhi mpaka saa 5: 40 usiku😀