Kumbukizi: Hili ndio toleo la kwanza la bia ya Serengeti

Lakini mkuu chupa wameandika imeanzishwa 1996, au umechanganya kidogo mwaka ?
Nimecheki hii Serengeti Premium Lager ni bia ya kwanza na kuu ya Serengeti Breweries Limited, iliyozinduliwa mwaka 1996. Inatambulika kama bia ya kwanza ya kimea Tanzania kwa asilimia 100, iliyotengenezwa na bwana wa pombe ya kienyeji Winston Kagusa kwa kutumia mapishi ya Kijerumani, na mara nyingi huitwa Chui (Chui).

Ngoja niendele kutafuta taarifa kulingana na simulizi yangu
 
Duh ! Sawa mkuu, uko deep 🙌
 
Naawashukuru sana safari lager hawana mambo mengi
Happy birthday
IMG-20260204-WA0047.jpg
 
Hivi ile bia iliyoitwa "Bingwa" na mwenzie the "Kick" bado zipo sokoni? .... Nina kumbukizi ya "Mtikila" ya mwaka 1994 kabla TBL haijabinafsishwa. 😂
 
Zipo lakini zina location zake maalum😂
 
😀 Ila bado sijaridhika mkuu maana kuna matukio ya siku hiyo bado nayakubuka huo mwaka🤣
Mkuu ni miaka zaidi ya 30 sasa, unaweza kukumbuka tukio kwa usahihi ila usikumbuke ilikua mwaka gani, siku zimeenda sana, mm pia nakumbuka baadhi ya matukio maishani ila sikumbuki tena mwaka, nakadiria tu 😅
 
Naona joined Aug 2012, ww ni mkongwe 😅, umenizidi kwa mwaka (Aug 2013).
 
Mkuu ni miaka zaidi ya 30 sasa, unaweza kukumbuka tukio kwa usahihi ila usikumbuke ilikua mwaka gani, siku zimeenda sana, mm pia nakumbuka baadhi ya matukio maishani ila sikumbuki tena mwaka, nakadiria tu 😅
Sahihi kabisa mkuu😀
 
Back
Top Bottom