Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

Kuna nyimbo yao moja ina intro. Hii.
For money, I assassinate
Today, I have an opponent that's worthy
Now killing me
You won't find that so easy

Ni jinsi yanavyotamkwa.... Siku moja nilipoangalia Drunken Master ndiyo nikagundua ni maneno ya Hwang Jang Lee akimwambia baba yake Jack Chan kwenye final fight. Sema Wu Tang vichwa sana
 
Nazikubali sana Kung Fu movies, hasa za zamani. Nazicheki sana channel ya Wu Tang collections Youtube. Kuna movie moja naitafuta sana. Kuna mtabe anaenda kila mji na kupiga waalimu wa Kungfu. Akiulizwa ametoka wapi anajibu kuzimu. Anataka nini? anajibu anafundisha watu kungfu. Alifika kwenye shule moja alipiga ticha na wanafunzi wake watatu. Ticha akawa hoi, akawaambia wanafunzi wake waondoke. Wanafunzi walienda huko na kujifunza kungfu kwa watu mbalimbali. Mmoja alienda kujifunza kwa mvuvi mwingine kwa maza fulani.

Movie ile ina choreographs kali sana. Kama kuna mdau anaijua jina afanye wepesi.
 
Don't tell me I'm such thing that you're referring me to.
Binafsi hua naona ni vitu vya kawaida ambavyo kila mtu anaweza kua anavijua. It's just napenda kusgea yale nayokuanayo kichwani
Kwenye mpira hata sijui kitu.. namshabikia Messi na mayele tu😅
Yaani mpira nina zero kabisa Huyo ten hag hata simjui.
Niambie muvi tu
So, You have such talent Sir.
Cheers ✌️.​
Thanks for being a regular visitor & Commentator of my writing
 
Ndio maana beats za RZA nyingi lazima utasikia mapanga yanakwaruzana
Rza kichwa sana yaani anavyochombeza vionjo vya muvi kwenye muziki wake Hadi raha. Unawezajua kuna watu wanapigana
 

Hii playlist ya kibabe sana...
 
Eeh bhana Da'Vinci u kill it's gaademit kitambo hicho madaftari yangu yote nilichora yule mwewe wa Wu Tang,..yanii 36 Chambers of Shaolin kila kona
 
Eeh bhana Da'Vinci u kill it's gaademit kitambo hicho madaftari yangu yote nilichora yule mwewe wa Wu Tang,..yanii 36 Chambers of Shaolin kila kona
Tulimchora Jack chan..snake in the monkey shedo (Shadow)
Drunken master
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…