Kumbukizi katika Picha: Hapa Mwigulu alitakiwa aanze kulipa kodi

Hahahah hivi watoto wa mjini mnakua wapi mpaka hawa jamaa wanakuja mjini na kutake over pochi na ATM ya nchi ? Mnakwama wapi ?
Umenikumbusha Jamaa ambaye alibase Sana kuchunga Ng'ombe wakati sisi tuko buzy na Shule na tukawa tunamcheka mwishowe Baba yake akamuanzisha Shule na tukawa tunasona naye, aisee jamaa alitukimbiza mpaka hivi sasa naandika hapa Jamaa ni Mwlm Shule wa shule ya Msingi.
 
Jamaa anatuumiza sana kupitia mitozo yake isiyo na kichwa wala miguu!!
 
Mkimbizaj yupo shule ya msingi na ww uliyekimbizwa upo wap???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…