Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

kuna siku alikuwa chunya akaropoka 'hata mkichagua upinzani ccm lazima iunde serikani'

mama hamna kitu yale yale tu.
 
kuna siku alikuwa chunya akaropoka 'hata mkichagua upinzani ccm lazima iunde serikani'

mama hamna kitu yale yale tu.
Hivi kwanini machadema mnakuwa wajinga sana?

Kwani aliekufa ni MAGUFULI au CCM?
 
Wasukuma fanyeni kazi kutegemea vyeo kutawakosesha raha sana awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…