KUMBUKIZI: Kigaila akitoa tafsiri ya 'No Reforms, No Election' enzi za Mbowe

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
3,259
Reaction score
5,974
lopo lopo Lisu, linaropoka tu. kulikuwa na haja gani ya kuitisha conference kuzungumzia mambo ya Tigo! sasa wamebadiri jina (ingawa....) kuropoka tu, kujiona he is supreme
🚮🚮🚮
 
Mawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
Hapana sio mawazo kubadilika, Mrema kwenye press ya leo anasema yeye alikuwa ofisini wakati wa hili azimio. Anasema hawakusema watazuia uchaguzi. Je hayo anayosema Kigaila wakati huo kayatoa wapi? Mrema aliitisha press kukana maelezo hayo ya Kigaila? Kwanini sasa? Hela za ccm zitawaaibisha safari hii.
 
Mbona kama unawaruka, Mjumbe? Umehamia upande mwingine?
 
G55 Wana akili kubwa kuliko wanaCHADEMA waliobaki
 
wale g55 me nawaita Gorillas55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…