Haya maandishi umeandika ukiwa na akili timamu kabisa? Kina Mrema na Kigaila ndio walisema hicho kitu, wewe unabishana nao tena? Au walikua wanasema kujifurahisha? Ni mwehu pekee yake ndio anaweza kuwaelewa na kuwatetea kina Kigaila na Mrema. Waanzilishi wa hiyo NRNE ni wao, wakainadi vizuri kwa msisitizo mkubwa, wakaungwa mkono na wananchi, Lissu na timu yake wanatembelea road map iliochorwa na wao, wao tena hawaitaki? Stupid. Walitakiwa kuomba msamaha kwa kutu mislead ndio waseme wanacho kisema sasa. Internet never forget, once it's on the internet then it is out of your control.