KUMBUKIZI: Kigaila akitoa tafsiri ya 'No Reforms, No Election' enzi za Mbowe

Mawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
Tupe Minutes ya kikao kilichobadilsha hiyo agenda ya Mbowe kutokana na hiyo prevailing situon yako. Tupe hata tarehe ya Kikao hicho cha Kamati Kuu ya CDM, minutes najua hutoweza kupata wewe kapuku wa kawaida hapo getini kwa Mbowe
 
Walikuwa wanabipu Lisu amepiga moja kwa moja.

MREMA alikuwa anajua ni utanii sababu Mbowe ni dalali.
Sasa hawaamini macho yao Lisu amenyooka nayo kama rula
Unajua huo ulikuwa mtego wa Mbowe kupata hela maana anagekuwa Mwenyekiti angefanya maongezi uchwara na CCM na kuvuta miamalq!
 
Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe

View attachment 3294979

Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Benson Kigaila alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara na John Mrema akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano!
Hivi Kigaila naye yuko kwenye G 55 ?
 
Kila siku watu wanaambiwa acheni uchawa hawasikii. Haya sasa watu wazima wanaadhirika huko CHADEMA wameamua kujitoa ufahamu na kukana msimamo wa chama wakati walikuwa sehemu ya maamuzi. Inaonekana hao G55 walikuwa wakiendesha maisha yao kupitia chama sasa kitendo cha kuingia Lisu na kunyoosha mambo jamaa njaa imewaingia sasa ndio hiyo nitoke vipi wameamua kujitoa ufahamu.
 
Wameula wa chuya sasa watafute pa kutokea!
 
lopo lopo Lisu, linaropoka tu. kulikuwa na haja gani ya kuitisha conference kuzungumzia mambo ya Tigo! sasa wamebadiri jina (ingawa....) kuropoka tu, kujiona he is supreme

Chuki uliyonayo kwa Lissu itakumaliza mwenyewe. Mwenzako yupo field anafanya kazi aliyotuma.
 
Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe

View attachment 3294979

Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Benson Kigaila alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara na John Mrema akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano!
Wale Kenge55😅😅
 
Back
Top Bottom